swali kwa wanawake

swali kwa wanawake

torvic mna mawasiliano ya mda gani?au umemfukuzia mda gani?
nimeshamuweka kando, kama unaona mambo yanaenda tofauti na mategemeo yako sio mbaya ku skip, na maisha yanaendelea
 
anakupima kama utakua ni baba unayechukua majukumu ya kuilea familia(responsibility) ni kitu tunachokiangalia ...financial security...wengine hawatasema hapa...lol ...wewe mmwagie madolari hayo...

kunipima ndio kwa kuniomba laki moja? hyo laki moja nikimpatia ndio kipimo cha kujua ninaweza kuwa na responsibility ya kulea familia??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio ,tunatakaga tall,muscular,rich,they are all signs of security mkuu,,,willingness yako ni prove tosha uko mbeleni hautaleta matatizo pale unapotakiwa kuprovide,,lol
 
Sasa wewe unatongoza wauza mihogo ya beseni, what do you expect, really
 
anakupima kama utakua ni baba unayechukua majukumu ya kuilea familia(responsibility) ni kitu tunachokiangalia ...financial security...wengine hawatasema hapa...lol ...wewe mmwagie madolari hayo...
Kwahiyo akitoa ndo unajua ataijali familia? Vijana wengine wanataka kugonga na kusepa. Hafu mbaya mpo nae mtaa mmoja utajuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo akitoa ndo unajua ataijali familia? Vijana wengine wanataka kugonga na kusepa. Hafu mbaya mpo nae mtaa mmoja utajuta

Sent using Jamii Forums mobile app

asilimia kubwa akikubali kutoa wakati mko kwenye uchumba atatoa akiwa baba,hao wabahili ujue hata kwenye familia watakua hivyo….swala la kusepa hayo ni mengine tena...
 
Uchumba wa kiafrika mnapigana mashine hadi mnakuwa watu wa makamo hapo mwanamke anaanza wivu kitakachofuata ni kibuti
 
Back
Top Bottom