Swali Kwa wanazuoni Kwa Dini ya Kislam na Waumini wa Dini Hiyo

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Msomaji Husika na Kichwa Cha Habari kama kilivyo

Swali langu ni kutaka kujua Je ni muda wa saa ngapi Adhana ya Swala ya Alfajiri inatakiwa kuaziniwa?

Nauliza hivyo because, nilikuwa najua ni saa 11 kasoro but now days naona mambo ni tofauti

Adhana inaanza saa Tisa na nusu, then saa kumi Kamili, inakuja tena saa 11 kasoro

Je hivi ndivyo inatakiwa kuwa?
 
We mwenyewe dini gani? Nataka nimsaidie atakaye jibu swali lako
 
Msomaji Husika na Kichwa Cha Habari kama kilivyo

Swali langu ni kutaka kujua Je ni muda wa saa ngapi Adhana ya Swala ya Alfajiri inatakiwa kuaziniwa?

Nauliza hivyo because, nilikuwa najua ni saa 11 kasoro but now days naona mambo ni tofauti

Adhana inaanza saa Tisa na nusu, then saa kumi Kamili, inakuja tena saa 11 kasoro

Je hivi ndivyo inatakiwa kuwa?
Adhana ya swala yeyote haitegemi saa , inaangalia majira kama Jua kuzama , kuchomoza, kuwa kati na menginemyo
Sasa mpaka umeona muda umebafilika ujue kuwa majira yamebadiliaka.
 
Alafu wanapiga makelele kweli unakuta mtu unaota ndoto Yako safi uko zako club mziki mnene mara ghalfa unasikia allaaahakbar unashangaa huyu Dj vipi,kumbe azanaa sometimes michosho sana.
Hili naona hata Mashekh wanalikemea la kupiga makelele

Kwa mujibu wa Dini Adhana ya Asubuh ni mbili tu

Yakwanza Inapoingia Alfajiri ya kweli (Mara nyingi hua ni sakumi na moja kasoro 15 lakini adhana hupigwa 04:55 ama 05:00

Adhana ya pili hua ni ya swala hapa huadhiniwa na 05:10 na swala itaswaliwa 05:25

hayo mengine ya kupiga mambo mengi ni watu tu kujitungia
 
Msomaji Husika na Kichwa Cha Habari kama kilivyo

Swali langu ni kutaka kujua Je ni muda wa saa ngapi Adhana ya Swala ya Alfajiri inatakiwa kuaziniwa?

Nauliza hivyo because, nilikuwa najua ni saa 11 kasoro but now days naona mambo ni tofauti

Adhana inaanza saa Tisa na nusu, then saa kumi Kamili, inakuja tena saa 11 kasoro

Je hivi ndivyo inatakiwa kuwa?
Kwa mujibu wa Dini Adhana ya Asubuh ni mbili tu

Yakwanza Inapoingia Alfajiri ya kweli (Mara nyingi hua ni sakumi na moja kasoro 15 lakini adhana hupigwa 04:55 ama 05:00

Adhana ya pili hua ni ya swala hapa huadhiniwa na 05:10 na swala itaswaliwa 0
5:25

Hayo mengine ni ya wanadam kujitungia tungia tu na hata Mashekh wanapiga kelele waache kupigiza watu kelele asubuhi

Adhana ni fupi na haiwezi pigia mtu kelele na adhana ya asubuhi hua fupi tu
 
Adhana ni ya Alfajiri huwa ni mbili, Ya kwanza ni ya hiari sio ya lazima amabyo huadhiniwa kuanzia tisa na nusu mpaka kwenye 10 na dakika 40 muda wowote utakaopendezwa nao. Hii ni hiari wala hakuna ulazima.
Ya pili inaanza kuanzia kumi na dakika 50 mpka kumi na moja na dakika 20 inategemea na mida ya uchomozaji wa jua. Hii ni kwa maeneo ya Dar, maeneo mengine mida hua tofauti kutokana na taratibu za uchomozaji wa jua kuwa hazifanani.

Kuhusu wale wanaopiga makelele ni wapuuzi tu wale wanaohitaji kutiwa adabu kabisa, ila ndio hivyo nchi inakosa nidhamu.
 
Aisee mtaani kwetu bwana msikiti umepata vifaa vipya

Yan wanaanza saa Tisa nanusu

Mpaka saa 11,
 
Adhana ni ya Alfajiri huwa ni mbili, Ya kwanza ni ya hiari sio ya lazima amabyo huadhiniwa kuanzia tisa na nusu mpaka kwenye 10 na dakika 40 muda wowote utakaopendezwa nao. Hii ni hiari wala hakuna ulazima.
Ya pili inaanza kuanzia kumi na dakika 50 mpka kumi na moja na dakika 20 inategemea na mida ya uchomozaji wa jua. Hii ni kwa maeneo ya Dar, maeneo mengine mida hua tofauti kutokana na taratibu za uchomozaji wa jua kuwa hazifanani.

Kuhusu wale wanaopiga makelele ni wapuuzi tu wale wanaohitaji kutiwa adabu kabisa, ila ndio hivyo nchi inakosa nidhamu.

Kweli kabisa wale ni wa kwenda kuwambia

Haiwezekani tangu saa Tisa na nusu mtu haulali mpaka saa 11

Yan ni full makelele, amkaaaa amkaaa amkaaaa aah too much
 
Adhana ya swala yeyote haitegemi saa , inaangalia majira kama Jua kuzama , kuchomoza, kuwa kati na menginemyo
Sasa mpaka umeona muda umebafilika ujue kuwa majira yamebadiliaka.

Duh ndio saa Tisa na nusu?
 
Alafu wanapiga makelele kweli unakuta mtu unaota ndoto Yako safi uko zako club mziki mnene mara ghalfa unasikia allaaahakbar unashangaa huyu Dj vipi,kumbe azanaa sometimes michosho sana.
Utasikia kelele za nyoko nyoko nyoko kumbe jitu lenyewe ni JIHISIHARAMU wala siyo muislamu...hizi dini za kikafiri bora tu zingepigwa marufuku .
 
Msomaji Husika na Kichwa Cha Habari kama kilivyo

Swali langu ni kutaka kujua Je ni muda wa saa ngapi Adhana ya Swala ya Alfajiri inatakiwa kuaziniwa?

Nauliza hivyo because, nilikuwa najua ni saa 11 kasoro but now days naona mambo ni tofauti

Adhana inaanza saa Tisa na nusu, then saa kumi Kamili, inakuja tena saa 11 kasoro

Je hivi ndivyo inatakiwa kuwa?
Ndio umetumwa huko kanisani kwenu?ivi huwa mnalipwa huko makanisani kutukana wenzenu kutwa kucha nyie watu? Mnataka mbakie peke yenu kwenye nchi hii?mbona nyie wana wavumilie na makanisa yenu ya kilokole kila kona? Acheni chuki wapuuzi nyiea,mnataka kuchafua amani yetu ya nchi na udini wenu
 
Utasikia kelele za nyoko nyoko nyoko kumbe jitu lenyewe ni JIHISIHARAMU wala siyo muislamu...hizi dini za kikafiri bora tu zingepigwa marufuku .
Sawa,ibakie dini inayoruhusu mphilannne
 
Ndio umetumwa huko kanisani kwenu?ivi huwa mnalipwa huko makanisani kutukana wenzenu kutwa kucha nyie watu? Mnataka mbakie peke yenu kwenye nchi hii?mbona nyie wana wavumilie na makanisa yenu ya kilokole kila kona? Acheni chuki wapuuzi nyiea,mnataka kuchafua amani yetu ya nchi na udini wenu

Sijui kama umesoma hoja yangu vizuri,

Ndio maana nimeuliza Je ni Sawa Adhana kuwa saa Tisa na nusu?

Yan watu wote tuamke kila saa Tisa usiku? Kila siku?

Why isiwe saa 11?

Kuanzia saa Tisa mtu anaongea for 10mn ?
 
Lengo la mtoa mada si kujua muda wa adhana, Bali ni kuibua kejeli za kidini! Haya jifurahishe!

Kisha utuambie sala ya Jumapili ni saa ngapi maana hapa kwangu ni makanisa ya mabati 6. Kuanzia Ijumaa usiku mpaka Jumapili jioni ni makele ya kukoroma kuchoma moto madhabahu na malango!

Hivi malango ni Kiswahili Cha wapi?
 
Back
Top Bottom