Swali kwa Wanywaji (Walevi)

Swali kwa Wanywaji (Walevi)

Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine.

sababu huwa ni nini?
Kwa sababu tunakopa alafu tunapiga chenga kulipa na kingine unakuta umetongoza barmaid akikukatalia wee utaenda tena apo?
Kingine kuna bar zina bear tamu hatari japo ni aina hiyo hiyo
 
Sasa mtu unapofungua bar inabidi ujiulize, hawa wateja wamekuja hapa kwanini? Kama ni bia mbona hata nyumbani kwake zipo? Ukishapata majibu, utafanya biashara vizuri kama Kitambaa Cheupe
 
Mara nyingi nikienda bar naend kuskiliza mix kali za Dj napenda good music ingawa bar nyingi hawawek mizik inayoeleweka.

Kingine naenda kuosha MBONI ya jicho.. kuangalia ufundi alionao mwenyezi mungu ktk uumbaji na usanii wake ktk kufinyanga udongo na kutoa binaadam wenye maumbo mbalimbali.. nikitosheka huyo naenda zangu kulala.
 
Mpaka nihame bar labda wawe wameleta ma barmaid wasioeleweka + huduma mbovu, ila kiduka cha mangi cha kitaa huwa sihami.
Kwenye kiduka cha mangi huwezi kuhama maana pale ndio unajiconect na jamii inayokuzunguka pamoja na kupata habar za mtaani kwako
 
Back
Top Bottom