mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kila mtu na starehe yakeKwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine.
sababu huwa ni nini?
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu na starehe yakeKwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine.
sababu huwa ni nini?
Kwa sababu tunakopa alafu tunapiga chenga kulipa na kingine unakuta umetongoza barmaid akikukatalia wee utaenda tena apo?Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine.
sababu huwa ni nini?
MmMimi ni mnywaji
Sawa sawa mkuuMkuu mwanamke yoyote anaweza kuwa malaya haijalishi mazingira yake ya kazi. Umalaya ni hulka ya mtu sio kazi yake
[emoji23][emoji23][emoji23]Madeni! Mnywa pombe lazima ukope pombe kadhaa! Sasa ukipata hela alafu eti unaenda kulipa deni daaah!!!??? Bora uamie Baa nyingine uweke heshima
Hapo ni sebuleni lazima upite kusalimiaMpaka nihame bar labda wawe wameleta ma barmaid wasioeleweka + huduma mbovu, ila kiduka cha mangi cha kitaa huwa sihami.
Mwanaume acha uoga ungekoswa na risasi sasa!Tangu nikoswe koswe na chupa siendi tena bar,nanunua bia zangu najifungia zangu chumba pekee yangu watoto wasinione nazichapa
Bora nipate majeraha sehemu nyingine lakini sio kwenye pombeMwanaume acha uoga ungekoswa na risasi sasa!
Nakazia.Punguza upumbavu kijana.
Job true trueKwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine.
sababu huwa ni nini?
Msako wa pisi kali.Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine.
sababu huwa ni nini?
Kwenye kiduka cha mangi huwezi kuhama maana pale ndio unajiconect na jamii inayokuzunguka pamoja na kupata habar za mtaani kwakoMpaka nihame bar labda wawe wameleta ma barmaid wasioeleweka + huduma mbovu, ila kiduka cha mangi cha kitaa huwa sihami.
Habari za Nini sasa? Dah tuna safari ndefu sana.Kwenye kiduka cha mangi huwezi kuhama maana pale ndio unajiconect na jamii inayokuzunguka pamoja na kupata habar za mtaani kwako
NakaziaPunguza upumbavu kijana.
Hahahah.... MadeniKwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine.
sababu huwa ni nini?