KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Thibitisha kwamba dunia ni tambarareDunia haizunguki, dunia ni tambarare.
Maji hayapindi, maji hufuata level iliyo nyooka, pia asilimia 75 ya uso wa dunia ni maji.
Jua linazunguka kutoka mashariki kwenda magharibi.
Hata Kichina wakiwezaWatumie lugha yoyote
Nithibitishe kwa kipi zaidi ya maandishi??Thibitisha kwamba dunia ni tambarare
Tuanze na ww kwanza unaweza thibitisha dunia inazunguka? Ukipata jibu lako ndio tukupe jibu la swali lako"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana hivi;
kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?
Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
Swali lako lina msingi mzuri, lakini kuna sababu kadhaa za kisayansi zinazofanya ndege au helikopta zisifanye hivyo."Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana hivi;
kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?
Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
fafanua kidogo ongezea nyamaNithibitishe kwa kipi zaidi ya maandishi??
Na tayari nimeandika kwamba asilimia 75 ya dunia ni maji, na maji hayawezi kupinda au kuwa na mkunjo, hivyo kwa kutumia common sense unapata majibu.
Ujinga hujaelewa geography rudi shuleDunia haizunguki, dunia ni tambarare.
Swali lako lina msingi mzuri, lakini kuna sababu kadhaa za kisayansi zinazofanya ndege au helikopta zisifanye hivyo.
1. Ndege, Helikopta, na Atmosphere Vinazunguka Pamoja na Dunia: Dunia inazunguka kwa kasi ya takriban 1,674 km/h kwenye ikweta. Hata hivyo, si Dunia pekee inayozunguka — angahewa, ikiwa ni pamoja na ndege na helikopta, pia inazunguka pamoja na Dunia kwa kasi hiyo hiyo. Kwa sababu ya hili, kama ndege au helikopta itapaa juu, itabaki ikiendelea kusogea kwa kasi ile ile ya mzunguko wa Dunia.
2. Kanuni ya Inertia: Kanuni ya kwanza ya Newton ya mwendo inasema kwamba kitu chochote kilicho katika mwendo kitaendelea katika mwendo huo isipokuwa nguvu ya nje itumike kukibadilisha. Kwa kuwa ndege au helikopta tayari zina mwendo wa kasi ya mzunguko wa Dunia, zinahitaji nguvu kubwa sana ili kuzizuia zisisogee pamoja na Dunia.
3. Uhitaji wa Nguvu za Nje:Ili ndege au helikopta zisitii mwendo wa Dunia, zingehitaji nguvu ya nje (kama vile injini zenye nguvu) ili kuondoa mwendo huo. Hii haifanyiki kwa sababu ni ngumu mno na kinyume na kanuni za fizikia za kawaida.
Kwa hiyo, ndege au helikopta zinapaswa kuruka kwa kawaida ili kufika mahali zinapohitaji, kwa sababu ziko ndani ya angahewa inayozunguka pamoja na Dunia.
Mipaka ya dunia inaishia wapi? Ni umbali gani ambao kitu kikiwa umbali huo kinakuwa hakiko duniani?"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana hivi;
kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?
Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
Jua linazunguka? Kiaje? sijaelewa hapoDunia haizunguki, dunia ni tambarare.
Maji hayapindi, maji hufuata level iliyo nyooka, pia asilimia 75 ya uso wa dunia ni maji.
Jua linazunguka kutoka mashariki kwenda magharibi.
Mfano mwingine ni reli na madaraja marefu...fafanua kidogo ongezea nyama
Flat Eathers hao.Jua linazunguka? Kiaje? sijaelewa hapo
AtuelezeJua linazunguka? Kiaje? sijaelewa hapo