Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Well, jua lina zunguka kutoka upande mmoja kwenda mwingine, watu wa zamani walikuwa hawana saa, hivyo walitumia kivuli cha jua kutambua muda.Jua linazunguka? Kiaje? sijaelewa hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well, jua lina zunguka kutoka upande mmoja kwenda mwingine, watu wa zamani walikuwa hawana saa, hivyo walitumia kivuli cha jua kutambua muda.Jua linazunguka? Kiaje? sijaelewa hapo
Ndiyo maana ukirusha jiwe au ndege ikipata hitilafu vinarudi duniani. Ni kwamba vimekumbatiwa na mikono ya Dunia isiyoonekana. Sijui ni fizikia ya kidato gani? Ngoja waje wajuzi waelezee zaidiDunia inazunguka pamoja na vitu vilivyo karibu yake
Starlink internet unafikiri inapatikana vipi pasipo internet..Tuanze na ww kwanza unaweza thibitisha dunia inazunguka? Ukipata jibu lako ndio tukupe jibu la swali lako
nadharia: Dunia inazunguka pamoja ya anga lake. mfano upande gari labda canter ukakaa kwenye body, likatembea labda 80km/h, ukiruka usawa wa body, huwezi tua sehemu nyingine sababu bado upo kwenye eneo la gari. labda uruke juu zaidi utoke nje ya atmosphere niseme ya gari ndo utatua point nyingine."Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana hivi;
kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?
Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
Kasome geography upyaWell, jua lina zunguka kutoka upande mmoja kwenda mwingine, watu wa zamani walikuwa hawana saa, hivyo walitumia kivuli cha jua kutambua muda.
View attachment 3114343
HakikaAtueleze
Shule kuna uongo mwingi, na mwanafunzi hapewi nafasi ya kuhoji...Nje ya mada.
Nakumbuka niliwahi kuchapwa na mwalimu wangu wa physics kwasababu ya kuuliza maswali ya design hii.
Niliwahi kuuliza swali hili; assume una njiwa (ndege) wenye jumla ya uzito wa kilograms 1000 kisha ukawapakia ndani ya ndege (aeroplane) na hao njiwa wakawa wanaruka (wanapaa) pasipo kutua ndani ya hiyo aeroplane, swali; Je, ndege (aeroplane) hiyo itakuwa imebeba uzito kiasi gani? Kwanini?
Nimeitoa mtandaoni:"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine?
Tunasoma majibu yenu sehemu ya maoni. Karubuni
Hapo uongo upi ? Hebu thibitisha kama geography wewe ulisoma kuelewa sio kukaririShule kuna uongo mwingi, na mwanafunzi hapewi nafasi ya kuhoji...
Kumbuka, Hii elimu haitambui uwepo wa Mungu, hivyo sio rahisi kukubaliana na uwepo wa Mungu na ishara zake.....
Mwalimu alinichapa nikaichukia sana fizikiaShule kuna uongo mwingi, na mwanafunzi hapewi nafasi ya kuhoji...
Kumbuka, Hii elimu haitambui uwepo wa Mungu, hivyo sio rahisi kukubaliana na uwepo wa Mungu na ishara zake.....
Ni sawa na mwanafunzi amuambie mwalimu athibitishe kwamba binadamu alikuwa sokwe...Mwalimu alinichapa nikaichukia sana fizikia
Masomo ya sayansi ni kama kufundishwa kukariri Kuruani na kuelewa yale maandishi ya kiarabu kujua kusoma na kuandika kutoka kulia kwenda kushotoMwalimu alinichapa nikaichukia sana fizikia
Itaangukia hapo hapo ulipokaa coz na yenyewe inakua kwenye motion ya speed ile ile ya Gari,Ukiwa ndani ya gari siti ya mbele, ukarusha peni juu, je itaangukia siti ya nyuma au itarudi hapohapo ulipokaa siti ya mbele??