Swali kwa watetezi wa Sintofaham ya fedha za Simba kutoka M-bet

Kabla hujaendelea kuharisha fahamu kuwa kiasi hicho kimetajwa kwenye bajeti iliyopitishwa ya mwaka mzima wa 2022/2023 na sio taarifa ya nusu mwaka

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Kinachonifurahisha ni kwamba wanaopindisha shingo kujadili mambo ya Simba ni Utopolo.
Ni dalili ya ukubwa.Katimu kadogo chao hakuna cha kujadili.Kitimu ambacho ni kampuni tanzu ya GSM. Hawajui wanachama kinaendeshwaje.
 
Baadhi ya watetezi wanasema kuwa kilichoripotiwa (2.5m) ni fedha ya nusu mwaka. Swali ni: je nusu ya 4.67m ni 2.5???
Mbona imeandikwa nusu ya mwaka, halafu wewe unaweka nusu ya hela?
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ shule hizi!
Yaani umeianzishia na uzi kabisa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Swala la mkataba wa M- Bet kuwa 2.5 b Kwa mwaka tulisha liandika apa jukwaani na ndio ukweli ulivyo.
Acheni ujinga. Kwahiyo kila mnaloandika JF ndio ukweli? Kwa hiyo mimi nikiandika hapa JF kwamba unapumuliwa kisogoni ni ukweli kwa vile imenenwa JF?

Acheni upuuzi... Hayo ni mahesabu ya mapato na matumizi na si mahesabu ya kufunga mwaka. Subiri mwaka wa fedha ukiisha sasa uombe Annual Financial Statement hapo utaona kila kitu ni ndiyo utagundua ujinga wako.
 
Gsm akiuza jezi za utopolo kwa kila 35000 ya jezi uto wanapokea 1300 hili hawataki kuambiwa wala kuuliza wako bize na umbea
 
Kwani mpaka sasa GSM kaweka kiasi gani hapo kwenye account za utopolo?
Halafu nyie rangi ya nyoka nyoka mnaumizwa sana na manzoki πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…