Kupania nini?Mfundishe Utopolo mwenzako hata basic maths.Ni aibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupania nini?Mfundishe Utopolo mwenzako hata basic maths.Ni aibu.
Sawa shangazi, nifundishe700 bil mkiambiwa hamna akili ila wawili tu mnakuja juu.Huyu hapa mwingine.Hajui hata hesabu za darasa la nne.
Kabla hujaendelea kuharisha fahamu kuwa kiasi hicho kimetajwa kwenye bajeti iliyopitishwa ya mwaka mzima wa 2022/2023 na sio taarifa ya nusu mwakaKwa akili yako utaendelea kubaki maskini na utakuwa maskini kwelikweli. Huna unalojua kuhusu masuala ya usimamizi wa fedha kitaalamu.
Nikikuuliza haya katika utoaji taarifa za hesabu za fedha utajibu nini?
Amortization
Cash flow projection
Financial position
Liquidity
Financial Statements na kanuni zinazosimamia uandaaji wa financial statement.
WaTanzania walio wengi ila sio wote ni wajinga na wapumbav wanajifanya kujua kila kitu pasipokujua hawajui. Tumbaf kabisa[emoji36][emoji36]
Kwa mfano hili la M Bet
Wewe unajua makubaliano ya mkataba Simba atapokea kiasi gani kwa mwezi? Je unatambua mkataba ulianza lini? Je wanajua hiyo hizo pesa Simba wamepokea hadi mwezi gani? Je, hiyo taarifa inaishia mwezi gani? Maana usije tu ukadhani wameandaa usiku na kesho yake kwenda kusoma. Hiyo taarifa inaandaliwa na wahasibu, inaidhinisha na CEO na kukaguliwa na mkaguzi wa ndani kama yupo. Mwisho ni lazima ipelekwe board wajumbe waipitie na mwenyekiti wa bodi aidhinishe. Zile hesabu za mwisho wa mwaka ni lazima zikaguliwe na wakaguzi wa nje na kuidhinishwa mfano, KPMG nk.
Msiyoyajua bora mkaage kimya kuficha ujinga wenu.
Simba wapo sahihi
Tibiwa uwendawazimu kwanza halafu uende shule.Bilioni 700????Sawa shangazi, nifundishe
Mbona imeandikwa nusu ya mwaka, halafu wewe unaweka nusu ya hela?Baadhi ya watetezi wanasema kuwa kilichoripotiwa (2.5m) ni fedha ya nusu mwaka. Swali ni: je nusu ya 4.67m ni 2.5???
Ukute na wewe una familiaMbona imeandikwa nusu ya mwaka, halafu wewe unaweka nusu ya hela?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shule hizi!
Yaani umeianzishia na uzi kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna ujualo unasumbuliwa na ujinga tuKabla hujaendelea kuharisha fahamu kuwa kiasi hicho kimetajwa kwenye bajeti iliyopitishwa ya mwaka mzima wa 2022/2023 na sio taarifa ya nusu mwaka
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Acheni ujinga. Kwahiyo kila mnaloandika JF ndio ukweli? Kwa hiyo mimi nikiandika hapa JF kwamba unapumuliwa kisogoni ni ukweli kwa vile imenenwa JF?Swala la mkataba wa M- Bet kuwa 2.5 b Kwa mwaka tulisha liandika apa jukwaani na ndio ukweli ulivyo.
Gsm akiuza jezi za utopolo kwa kila 35000 ya jezi uto wanapokea 1300 hili hawataki kuambiwa wala kuuliza wako bize na umbeaMwanachama hai wa Simba?Au gongo wazi in disguise.Kwa sababu kwenye maelezo yako umedai wanaitetea Simba kwa hiyo wewe sio mmoja wao!
Hivi mapato na matumizi ya Utopolo unaweza kuyaweka wazi?GSM wameuza jezi ngapi?Klabu imeingiza nini?Oh my mistake siku hizi Utopolo ni kampuni tanzu ya GSM hivyo hakuna mahesabu.
Ukimtoa Hersi viongozi wengine ni akina nani wenye kusimamia maslahi ya klabu?
Kwani mpaka sasa GSM kaweka kiasi gani hapo kwenye account za utopolo?Mambo yanayo fanywa na Viongozi wa Simba huitaji elimu ya darasani kujua ni upuuzi.
Kitendo Cha basi kubwa la wachezaji ambalo Msemaji wa timu alisema lipo Gereji na Mangungu kusema Limeuzwa au kuonekana Manzoki kwenye Mkutano mkuu wa Simba kunakupa Picha halisi namna mambo yanayo fanyika.
Swala la mkataba wa M- Bet kuwa 2.5 b Kwa mwaka tulisha liandika apa jukwaani na ndio ukweli ulivyo.
Inawezekana ukweli uka kuudhi ila uo ndio ukweli halisi usio na chenga.
Kwakua nyie mbumbumbu fc starehe yenu ni kuongopewa sisi tutaendelea kuwaambia ukweli japo mna umia.
Yaani hili nikama Ile 20b iliyochorwa kwenye T shirt ya uwekezaji wa Mudi Kwa madai Ipo kwenye Account ya Siri.