Swali kwa watetezi wa Sintofaham ya fedha za Simba kutoka M-bet

Swali kwa watetezi wa Sintofaham ya fedha za Simba kutoka M-bet

Kwa akili yako utaendelea kubaki maskini na utakuwa maskini kwelikweli. Huna unalojua kuhusu masuala ya usimamizi wa fedha kitaalamu.

Nikikuuliza haya katika utoaji taarifa za hesabu za fedha utajibu nini?
Amortization
Cash flow projection
Financial position
Liquidity
Financial Statements na kanuni zinazosimamia uandaaji wa financial statement.

WaTanzania walio wengi ila sio wote ni wajinga na wapumbav wanajifanya kujua kila kitu pasipokujua hawajui. Tumbaf kabisa[emoji36][emoji36]

Kwa mfano hili la M Bet
Wewe unajua makubaliano ya mkataba Simba atapokea kiasi gani kwa mwezi? Je unatambua mkataba ulianza lini? Je wanajua hiyo hizo pesa Simba wamepokea hadi mwezi gani? Je, hiyo taarifa inaishia mwezi gani? Maana usije tu ukadhani wameandaa usiku na kesho yake kwenda kusoma. Hiyo taarifa inaandaliwa na wahasibu, inaidhinisha na CEO na kukaguliwa na mkaguzi wa ndani kama yupo. Mwisho ni lazima ipelekwe board wajumbe waipitie na mwenyekiti wa bodi aidhinishe. Zile hesabu za mwisho wa mwaka ni lazima zikaguliwe na wakaguzi wa nje na kuidhinishwa mfano, KPMG nk.

Msiyoyajua bora mkaage kimya kuficha ujinga wenu.

Simba wapo sahihi
Kabla hujaendelea kuharisha fahamu kuwa kiasi hicho kimetajwa kwenye bajeti iliyopitishwa ya mwaka mzima wa 2022/2023 na sio taarifa ya nusu mwaka

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Kinachonifurahisha ni kwamba wanaopindisha shingo kujadili mambo ya Simba ni Utopolo.
Ni dalili ya ukubwa.Katimu kadogo chao hakuna cha kujadili.Kitimu ambacho ni kampuni tanzu ya GSM. Hawajui wanachama kinaendeshwaje.
 
Baadhi ya watetezi wanasema kuwa kilichoripotiwa (2.5m) ni fedha ya nusu mwaka. Swali ni: je nusu ya 4.67m ni 2.5???
Mbona imeandikwa nusu ya mwaka, halafu wewe unaweka nusu ya hela?
😂 😂 😂 shule hizi!
Yaani umeianzishia na uzi kabisa 😂 😂 😂
 
Swala la mkataba wa M- Bet kuwa 2.5 b Kwa mwaka tulisha liandika apa jukwaani na ndio ukweli ulivyo.
Acheni ujinga. Kwahiyo kila mnaloandika JF ndio ukweli? Kwa hiyo mimi nikiandika hapa JF kwamba unapumuliwa kisogoni ni ukweli kwa vile imenenwa JF?

Acheni upuuzi... Hayo ni mahesabu ya mapato na matumizi na si mahesabu ya kufunga mwaka. Subiri mwaka wa fedha ukiisha sasa uombe Annual Financial Statement hapo utaona kila kitu ni ndiyo utagundua ujinga wako.
 
Mwanachama hai wa Simba?Au gongo wazi in disguise.Kwa sababu kwenye maelezo yako umedai wanaitetea Simba kwa hiyo wewe sio mmoja wao!

Hivi mapato na matumizi ya Utopolo unaweza kuyaweka wazi?GSM wameuza jezi ngapi?Klabu imeingiza nini?Oh my mistake siku hizi Utopolo ni kampuni tanzu ya GSM hivyo hakuna mahesabu.

Ukimtoa Hersi viongozi wengine ni akina nani wenye kusimamia maslahi ya klabu?
Gsm akiuza jezi za utopolo kwa kila 35000 ya jezi uto wanapokea 1300 hili hawataki kuambiwa wala kuuliza wako bize na umbea
 
Mambo yanayo fanywa na Viongozi wa Simba huitaji elimu ya darasani kujua ni upuuzi.
Kitendo Cha basi kubwa la wachezaji ambalo Msemaji wa timu alisema lipo Gereji na Mangungu kusema Limeuzwa au kuonekana Manzoki kwenye Mkutano mkuu wa Simba kunakupa Picha halisi namna mambo yanayo fanyika.

Swala la mkataba wa M- Bet kuwa 2.5 b Kwa mwaka tulisha liandika apa jukwaani na ndio ukweli ulivyo.
Inawezekana ukweli uka kuudhi ila uo ndio ukweli halisi usio na chenga.
Kwakua nyie mbumbumbu fc starehe yenu ni kuongopewa sisi tutaendelea kuwaambia ukweli japo mna umia.

Yaani hili nikama Ile 20b iliyochorwa kwenye T shirt ya uwekezaji wa Mudi Kwa madai Ipo kwenye Account ya Siri.
Kwani mpaka sasa GSM kaweka kiasi gani hapo kwenye account za utopolo?
Halafu nyie rangi ya nyoka nyoka mnaumizwa sana na manzoki 😅
 
Back
Top Bottom