Swali kwa watu ambao wako selfaware only (watu WASIO kwenye matrix)

Lovelia de Valmorra

Senior Member
Joined
Mar 14, 2025
Posts
132
Reaction score
182
My apologies kwa matrix people hili sio swali lenu, hili ni swali kwa watu walio self-aware,self-conscious,awake.
( kama wewe hujui tofauti yake nini wala usihofu hiyo ni indication kuwa swali sio lako vinginevyo ungejua).

Twende kwenye swali, wakuu naomba kujua ni vitabu gani ambavyo ni your top 3. katika genre ya mind, body, spirit nonfiction genre. na labda kati ya hivyo point out the must read ili mtu atakaetaka kuchagua kimoja achague hicho. natanguliza shukran.

NB (matrix people tafadhali sitaki makasiriko kwenye hii thread /comment otherwise utakuwa unaemphasize how unconscious you are,usijiaibishe tafadhali)
 
1. “The Power of Now” – Eckhart Tolle (Must Read)
• Kitabu hiki kinazungumzia jinsi ya kuishi kikamilifu katika sasa bila kujifunga na mawazo ya zamani au hofu ya kesho. Ni moja ya vitabu vinavyoamsha fahamu kwa undani sana.
2. “The Untethered Soul” – Michael A. Singer
• Kinaelezea jinsi akili inavyofanya kazi na jinsi ya kujitoa kutoka kwenye mzunguko wa fikra zinazotufunga. Kama unatafuta kuielewa self-awareness kwa kina, hiki ni kitabu kizuri.

3. “Becoming Supernatural” – Dr. Joe Dispenza
• Kinaeleza jinsi ya kuunganisha akili, mwili, na roho ili kufikia hali za juu za fahamu. Dr. Joe anatumia sayansi kuelezea jinsi tunavyoweza kushinda mipaka ya kimwili na ya kiakili.
 
Must Read? Kama utachagua kimoja, “The Power of Now” ni msingi mzuri wa safari yako ya kuwa self-aware.
hapo sijasoma hicho cha Dr. Joe Dispenza tu,tena this is like my sign maana nilikuwa najivuta kukisoma kitambo. The power of now, the new earth na untethered are one of my faves. shukran sana sana
 
Mimi nimeshavuka hatua ya kusoma vitabu vya taarifa (information) nipo kwenye hatua ya kusoma vitabu vya maelekezo (instructions/how to) hasa vya uchawi.

Yani nataka ninaposoma niwe na nafasi au fursa ya kujaribu nilichosoma ili nione kama ni kweli au la!!

Kati ya vitabu zaidi ya 100 vya kichawi Nimeshabahatisha kimoja tu ndo nimethibitisha ukifanya alichoelekeza mwandishi, kwa vifaa sahihi unapata matokeo.

Vingine viwili nashindwa kuvijaribu kwa sababu vyenyewe ni uchawi wa kiislam (majini), sasa mimi sio mwislamu nashindwa kupractice.

Hasa namna ya kuandika zile herufi na tarasimu
 
Unataka uwe mchawi?
 
Kama unaamini israel ni taifa teule, wewe sio self aware. Unashida
 
Back
Top Bottom