Swali kwa watu ambao wako selfaware only (watu WASIO kwenye matrix)

Swali kwa watu ambao wako selfaware only (watu WASIO kwenye matrix)

Mimi nimeshavuka hatua ya kusoma vitabu vya taarifa (information) nipo kwenye hatua ya kusoma vitabu vya maelekezo (instructions/how to) hasa vya uchawi.

Yani nataka ninaposoma niwe na nafasi au fursa ya kujaribu nilichosoma ili nione kama ni kweli au la!!

Kati ya vitabu zaidi ya 100 vya kichawi Nimeshabahatisha kimoja tu ndo nimethibitisha ukifanya alichoelekeza mwandishi, kwa vifaa sahihi unapata matokeo.

Vingine viwili nashindwa kuvijaribu kwa sababu vyenyewe ni uchawi wa kiislam (majini), sasa mimi sio mwislamu nashindwa kupractice.

Hasa namna ya kuandika zile herufi na tarasimu
ooh kumbe, sawa, ni kipi hicho kimoja im just curious
 
Back
Top Bottom