Lovelia de Valmorra
Senior Member
- Mar 14, 2025
- 132
- 182
sawa, shukranMimi bible
Ingia YouTube search bible project in Swahili utapata muhtasari ya vitabu vyote kwa dakika nne mpk tano utaelewa siri kuu ya ulimwengu
sijakuelewaUnauliza Na Bado Unatusagahala Kwanini Lakini?
hapo sijasoma hicho cha Dr. Joe Dispenza tu,tena this is like my sign maana nilikuwa najivuta kukisoma kitambo. The power of now, the new earth na untethered are one of my faves. shukran sana sana1. “The Power of Now” – Eckhart Tolle (Must Read)
• Kitabu hiki kinazungumzia jinsi ya kuishi kikamilifu katika sasa bila kujifunga na mawazo ya zamani au hofu ya kesho. Ni moja ya vitabu vinavyoamsha fahamu kwa undani sana.
2. “The Untethered Soul” – Michael A. Singer
• Kinaelezea jinsi akili inavyofanya kazi na jinsi ya kujitoa kutoka kwenye mzunguko wa fikra zinazotufunga. Kama unatafuta kuielewa self-awareness kwa kina, hiki ni kitabu kizuri.
3. “Becoming Supernatural” – Dr. Joe Dispenza
• Kinaeleza jinsi ya kuunganisha akili, mwili, na roho ili kufikia hali za juu za fahamu. Dr. Joe anatumia sayansi kuelezea jinsi tunavyoweza kushinda mipaka ya kimwili na ya kiakili.
Must Read? Kama utachagua kimoja, “The Power of Now” ni msingi mzuri wa safari yako ya kuwa self-aware.
hapana nataka experience za watu,kuna watu wengine wanasomaga rare books, so unapata gems, asante kwa suggestionNenda google
Kuna ule uzi wa vitabu embu utafutehapana nataka experience za watu,kuna watu wengine wanasomaga rare books, so unapata gems, asante kwa suggestion
ule una vitabu in general, mi nataka specific mind,body,spirit genre toka kwa wazoefu na wapenzi wa hiyo genre .is a good idea though ,thxKuna ule uzi wa vitabu embu utafute
Mimi nimeshavuka hatua ya kusoma vitabu vya taarifa (information) nipo kwenye hatua ya kusoma vitabu vya maelekezo (instructions/how to) hasa vya uchawi.
Yani nataka ninaposoma niwe na nafasi au fursa ya kujaribu nilichosoma ili nione kama ni kweli au la!!
Kati ya vitabu zaidi ya 100 vya kichawi Nimeshabahatisha kimoja tu ndo nimethibitisha ukifanya alichoelekeza mwandishi, kwa vifaa sahihi unapata matokeo.
Vingine viwili nashindwa kuvijaribu kwa sababu vyenyewe ni uchawi wa kiislam (majini), sasa mimi sio mwislamu nashindwa kupractice.
Hasa namna ya kuandika zile herufi na tarasimu
Nayapenda hayo maarifa.Unataka uwe mchawi?
sio anataka tayari ni lichawi hili kaa nalo mbali.Unataka uwe mchawi?
yes we are,that makes happy kuona kuna mtz anaelewa hili maana wengi ukisema hivyo hawaelewi kabisa! sijakisoma hicho thanks ntakitaftaOne truth, one law, Iam I create................... ( we are all God we have just forgotten)
unaenda nje ya swaliKama unaamini israel ni taifa teule, wewe sio self aware. Unashida