Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
ndo nimemalza form foo.
Kwanini uliandika 'verse' kwenye pepa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo nimemalza form foo.
Ivi,let say kwamba una wapenzi wawili ambao hawajuani,then siku ya siku wote wanakuomba ukutane nao muda mmoja katka sehemu moja.utafanyaje?
... muda mmoja katka sehemu moja...
Ndo amepata amtokeo ya f4 juzi tu. Unataka kunambia ni yule aloshusha mistari ama!Ndio mambo ya wanaume kujadili haya. Mtoa mada uko form ngapi?
Ivi,let say kwamba una wapenzi wawili ambao hawajuani,then siku ya siku wote wanakuomba ukutane nao muda mmoja katka sehemu moja.utafanyaje?
ndo nimemalza form foo.
Nachagua anae noga mwingine unampiga kalenda na location unahama