hivi huoni kwamba huo ni utumwa????????????
MIMI NIKO HURU BWANA JAPO KWA SASA NIKO SINGLE LAKINI NAAMINI NA KWA HAKIKA NDIVYO ILIVYO KWAMBA NI VIZURI SANA UKAWA NA MPENZI MMOJA, UKAMPENDA SANA, UKAJIACHIA KWAKE MAZIMA, NAYE AKAWA ANAKUPENDA SANA NA AKAJIACHIA KWAKO MAZIMA. UTAFURAHIA MAISHA POPOTE NA KUWA HURU NAYE; KWA KILA JAMBO NA KILA KITU.
Vinginevyo wewe ni mtumwa wakati wote utakapokuwa na mmoja wapo simu au msg ikipigwa/ikiingia unawaza sijui ni yule dem mwingine? mpenzio akishka tu simu unakuwa dictator.... YA NINI YOTE HAYO????? BE FREE WITH ONE YOU LOVE MUCH BWANA UTUMWA MWINGINE WA KUJITAKIA TU.