swali kwa wenyeji na watu wa dar es salaaaaaaaaaammmmmm!!!!!!!!!!! !!!

swali kwa wenyeji na watu wa dar es salaaaaaaaaaammmmmm!!!!!!!!!!! !!!

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
CHEMSHA BONGO WAKUU; Nataka kujua km ww ni mtoto wa TOWN, sehem gani hapa dar kuna majengo ya kifahari na hiyo, hiyo sehem jina lake ni chombo cha kupikia jikoni, hilo, hilo jina ni jina la msanii maarufu wa bongo movie? naomba jibu?
 
Aah!ngoja narudi nimesahau yani nilikuwa nakumbuka sasahivi ngoja narudi
 
=Deejay nasmile nenda loliondo mh chitaki kikombe hakiponechi nimechituka!
 
Nashindwa kuvumbua sehemu yenye nyumba za kifahari Dar.
Iliyokuwepo imeshaporomoka na moja iliyobakia Tibaijuka anataka kuivunja.
 
Back
Top Bottom