Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
Miko+cheni 🙂
unajua uwingi wa neno mwiko??Mkuu hakuna chombo cha kupikia kinachoitwa miko.
unajua uwingi wa neno mwiko??
Wingi wa mwiko ni mwiko siyo miko wala miiko,ni sawa na wingi wa chupa ni chupa huwezi sema vyupa au nyupa.
wakuu nitoe jiiiibu au? nipeni mji basi,,,,,,,,