............Na kujishusha ndio ngao kubwa inayoweza kuimarisha mahusiano/ndoa yenu, hasa mwanaume ukijua kujishusha hiyo ndoa yenu lazima itakuwa paradiso ndogo hapa duniani.
.........Baadhi ya wanaume hapa naona hawajui kubembeleza, naona tu wanavyosema mwanamke akigoma basi na yeye atagoma na hawafahamu kwamba sisi wanawake tunapenda kubembelezwa, sasa sijui kama ni wanawake wote au ni mimi tu.Hivyo wanaume mjue kubembeleza wake zenu, msijifanye wababe wala haisaidii ndio kwanza ubabe unabomoa.