Swali kwa Zitto: Nondo akataa kupigwa picha?

Hakuna kitu hapa, we uliona wapi mtu toka jana saa 4 usiku kaonekana. Cha ajabu hakuna hata picha yeyote wala video.
Project za watu. Mara alienda ofisini kwa bodaboda mara wasamaria walimleta na bajaji. Pia mhudumu wa hospital anasema hakufika akiwa na hali mbaya, wanachama waliokuwepo usiku wanasema alikuwa na hali mbaya sana.
 
Hili swala emb tujipe muda. Maana kwenye vyombo vya habari ACT inatuhumu Jeshi la Polisi wazi wazi kuwa ni wahusika na wametoa baadhi ya sababu. Nadhani ingekuwa ni project sidhani kama Polisi wangekubali kuwa mbuzi wa kafara kutokana na jinsi walivyochafuka na haya matukio. Tujipe muda kidogo.
 
Kama Nondo wamemfanyia mambo ya ufedhuli wamekosea sana.

Ila pia kama ACT wanatumika kutakatisha mambo mabaya yaliyofanyika kwenye uchaguzi wanakosea pakubwa sana. Maana ukiangalia kwa jicho la tatu ni kama kuna kitu kinafanyiwa spinning ili aidha kukificha au kutuhamisha kwenye uharamia wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Chama cha Act na Zitto ni kama sehemu ya CCM.
 
Hakuna kitu hapa, we uliona wapi mtu toka jana saa 4 usiku kaonekana. Cha ajabu hakuna hata picha yeyote wala video.
Project za watu. Mara alienda ofisini kwa bodaboda mara wasamaria walimleta na bajaji. Pia mhudumu wa hospital anasema hakufika akiwa na hali mbaya, wanachama waliokuwepo usiku wanasema alikuwa na hali mbaya sana.
Walikuonesha picha za Lissu ulifanya nini? Wakakuonesha za Sativa ulifanya nini ewe Mtanzania muoga na chawa uliyekubuhu?
 
Swala kuwa na Hali mbaya au alitekwa?ana Hali Gani hyo sio kazi yetu kujua.
Alitekwa au hakutekwa?
 
Walikuonesha picha za Lissu ulifanya nini? Wakakuonesha za Sativa ulifanya nini ewe Mtanzania muoga na chawa uliyekubuhu?
Lissu tulimchangia Damu, sativa tulimchangia nauli ya kuletwa Dar. Unataka tuchukue bunduki tukapigane?
 
Hili swala emb tujipe muda. Maana kwenye vyombo vya habari ACT inatuhumu Jeshi la Polisi wazi wazi kuwa ni wahusika na wametoa baadhi ya sababu. Nadhani ingekuwa ni project sidhani kama Polisi wangekubali kuwa mbuzi wa kafara kutokana na jinsi walivyochafuka na haya matukio. Tujipe muda kidogo.
Hapo kwenye bold..!! Kwani muda wetu kachukua nani?
 
Hii inaweza kuwa uzushi kama ya yule mama wa BAWACHA aliyejifanya nae katekwa na kusaidiwa na bodaboda.
 
Back
Top Bottom