Swali kwa Zitto: Nondo akataa kupigwa picha?

Swali kwa Zitto: Nondo akataa kupigwa picha?

Maccm ni maDOminatrix..mnapata raha kuona majeruhi mliyosababisha
 
Hizi bangi za uzeeni sasa zimekuzidi kimo.
Jichunguze sana kabla huja pata maafa makubwa zaidi.

Naona hali inavyo zidi kubadilika hapa nchini, ndivyo mnavyo zidi kuchanganyikiwa akili 'kupe" wakubwa nyinyi mnaonyonya damu za watanzania kupitia CCM.
Wewe Unadhani Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh Mnyika alijulishwa na nani Kuwa Nondo ametekwa? 🐼

Muwage na Akili siyo kila kitu ni ushabiki wa kisiasa tu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wewe Unadhani Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh Mnyika alijulishwa na nani Kuwa Nondo ametekwa? 🐼

Muwage na Akili siyo kila kitu ni ushabiki wa kisiasa tu
Hata sielewi lengo lako la kung'ang'ania Mnyika kujulishwa ni lipi hasa! Kuna nyakati akili zako hazifanyi kazi sawasawa.

Sasa Mnyika akijulishwa, ndipo iweje. Ndiye aliye zuia picha za utekaji kuchukuliwa. Na huko kwingine kote alikopitia Nondo, ni Mnyika huyo huyo alikuwa anajuwa yanayo endelea?

Unanihusisha mimi na "ushabiki" wa kisiasa! Sasa sijui wewe utakuwa ni kitu gani?

Tatizo ni kwamba hata aibu huoni, unapokuwa unachanganya changanya haya maswala, ambayo wewe unayafanya kama ni ya kufanyia mzaha kila mara; hata wakati watu wanapoteza maisha.

Uwe unajifikiria wakati mwingine, na hata kujizuia kujionyesha kuwa mtu mpuuzi.
 
Back
Top Bottom