Swali kwa Zitto: Nondo akataa kupigwa picha?

Swali kwa Zitto: Nondo akataa kupigwa picha?

SWALI KWA ZITO :NONDO AKATAA KUPIGWA PICHA?

AU msimamo wa chama kwamba picha za majeruhi hazioneshi kwa jami?

PIA SOMA
- ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa kwenye kitisho cha kifo
Suala la kupigwa picha kimsingi ni uamuzi wa aliyeumizwa, ana uamuzi wa kutunza faragha yake kama mgonjwa.

Lakini, ni muhimu sana, katika muktadha wa siasa za utekaji na harakati za haki za binadamu, wanaodai kutekwa na kupigwa waweke uwazi na ushahidi usiopinguka, ili kuondoa utata kama wamepigwa kweli ama la.

Kuna kisa kimoja cha Emmett Till, kijana mweusi wa Kimarekani aliyepigwa mpaka kuuawa na wabaguzi Wamarekani weupe.

Emmett Till alipigwa vibaya sana na kuuawa, aliumizwa sana mpaka maiti yake ilikuwa haiangaliki kwa jinsi akivyoumizwa. Watu wakamshauri mama yake kuwa kwenye kutoa heshima za mwisho, jeneza lifungwe.

Lakini, mama yake Emmett Till alikataa jeneza kufungwa, alisema kwamba anataka dunia ione jinsi mwanawe alivyoumizwa.

Huyu mama alielewa umuhimubwa mambo kuonekana wazi, the power of image.

ACT wameshindwa kuelewa hili?
 
SWALI KWA ZITO :NONDO AKATAA KUPIGWA PICHA?

AU msimamo wa chama kwamba picha za majeruhi hazioneshi kwa jami?

PIA SOMA
- ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa kwenye kitisho cha kifo
Na katoa amri hiyo hiyo kwa "wasamaria wema" tokea Coco Beach , had alipo "wahishwa" na kutelekezwa kwa mara ya pili pale Makao Makuu ya Chama!
Kana kwamba hiyo haitoshi, hata alipo fikishwa hospitalini Agha Khan na kupokelewa kupata matibabu; hata viongozi walio fika kumpa pole, wao pia wakaamriwa kuwa picha ni marufuku!
Na mtu mwenyewe alikuwa na hali mbaya sana, hata kuongea hawezi!!

Hivi pale Magufuli hakuna CCTV hata moja. Inakuwaje eneo kama lile likose kitu kama hicho.
Hata wakati wa purukushani, hakuna mtu hata mmoja aliye ona umuhimu wa kuchukua picha za tukio hilo?

Hayo yote tuyaache, la muhimu uhai wake upo salama.
 
Kwa dini yetu picha ni haram
Una sema kweli?
Ni kama nakumbuka kuona picha za Zitto alipo kuwa amelazwa hapo hapo Agha Khan alipo dai kulishwa sumu na wenzake ndani ya CHADEMA wakati huo!

Au haya ni mabadiliko ya hivi karibuni huko ndani ya dini?
 
Hili swala emb tujipe muda. Maana kwenye vyombo vya habari ACT inatuhumu Jeshi la Polisi wazi wazi kuwa ni wahusika na wametoa baadhi ya sababu. Nadhani ingekuwa ni project sidhani kama Polisi wangekubali kuwa mbuzi wa kafara kutokana na jinsi walivyochafuka na haya matukio. Tujipe muda kidogo.
Spinning ya kupotezea mauwaji ya uchafuzi wa serikali za mitaa.
 
Tuoneshe picha za ndugulile au magufuli wakiwa hospital.tutakuonesha za nondo
 
Na katoa amri hiyo hiyo kwa "wasamaria wema" tokea Coco Beach , had alipo "wahishwa" na kutelekezwa kwa mara ya pili pale Makao Makuu ya Chama!
Kana kwamba hiyo haitoshi, hata alipo fikishwa hospitalini Agha Khan na kupokelewa kupata matibabu; hata viongozi walio fika kumpa pole, wao pia wakaamriwa kuwa picha ni marufuku!
Na mtu mwenyewe alikuwa na hali mbaya sana, hata kuongea hawezi!!

Hivi pale Magufuli hakuna CCTV hata moja. Inakuwaje eneo kama lile likose kitu kama hicho.
Hata wakati wa purukushani, hakuna mtu hata mmoja aliye ona umuhimu wa kuchukua picha za tukio hilo?

Hayo yote tuyaache, la muhimu uhai wake upo salama.
Nondo amesema alitekwa huku Madereva wa Bajaj na Bodaboda pale Magufuli BT wakishuhudia

Unataka aseme nini tena?!
 
Hakuna kitu hapa, we uliona wapi mtu toka jana saa 4 usiku kaonekana. Cha ajabu hakuna hata picha yeyote wala video.
Project za watu. Mara alienda ofisini kwa bodaboda mara wasamaria walimleta na bajaji. Pia mhudumu wa hospital anasema hakufika akiwa na hali mbaya, wanachama waliokuwepo usiku wanasema alikuwa na hali mbaya sana.
Kama unafuatilia picha tayari zimeonekana na zinatisha sana na kama maelezo ameeleza bayana. Ninyi mnakua kama mashetani, Kwa sababu kama nchi inafuata utawala wa Sheria kwanini wasikamatwe wakapandishwa mahakamani Kwa makosa ya kuichafua serikali? Mnashindwa Nini? Mnajua kwamba hizi ni damu za watu na ardhi inazililia Huko mnakozimwaga? Do you know this?
 
Nondo amesema alitekwa huku Madereva wa Bajaj na Bodaboda pale Magufuli BT wakishuhudia

Unataka aseme nini tena?!
Umeelewa lakini?
Haiishii au kuhusu kwenye "... yeye aseme nini."

Jifunze kusoma na kuelewa kilicho andikwa.
 
Umeelewa lakini?
Haiishii au kuhusu kwenye "... yeye aseme nini."

Jifunze kusoma na kuelewa kilicho andikwa.
Nenda hapo Mbezi kawaulize Bajaj na Bodaboda usituchoshe bwashee 🐼

Bajaj ya Mnyika inapaki pale pale Magufuli, muulize kijana wa J J
 
Nenda hapo Mbezi kawaulize Bajaj na Bodaboda usituchoshe bwashee 🐼

Bajaj ya Mnyika inapaki pale pale Magufuli, muulize kijana wa J J
Hizi bangi za uzeeni sasa zimekuzidi kimo.
Jichunguze sana kabla huja pata maafa makubwa zaidi.

Naona hali inavyo zidi kubadilika hapa nchini, ndivyo mnavyo zidi kuchanganyikiwa akili 'kupe" wakubwa nyinyi mnaonyonya damu za watanzania kupitia CCM.
 
Back
Top Bottom