KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Wewe Unadhani Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh Mnyika alijulishwa na nani Kuwa Nondo ametekwa? 🐼Hizi bangi za uzeeni sasa zimekuzidi kimo.
Jichunguze sana kabla huja pata maafa makubwa zaidi.
Naona hali inavyo zidi kubadilika hapa nchini, ndivyo mnavyo zidi kuchanganyikiwa akili 'kupe" wakubwa nyinyi mnaonyonya damu za watanzania kupitia CCM.
Hata sielewi lengo lako la kung'ang'ania Mnyika kujulishwa ni lipi hasa! Kuna nyakati akili zako hazifanyi kazi sawasawa.Wewe Unadhani Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh Mnyika alijulishwa na nani Kuwa Nondo ametekwa? 🐼
Muwage na Akili siyo kila kitu ni ushabiki wa kisiasa tu
Mbn picha zipoSWALI KWA ZITO :NONDO AKATAA KUPIGWA PICHA?
AU msimamo wa chama kwamba picha za majeruhi hazioneshi kwa jami?
PIA SOMA
- ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa kwenye kitisho cha kifo