SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boss anapitaga huku lkn jamani[emoji40][emoji40]
 
Sisi ndo tukienda mikoani ni kusuuza langu kwa ma dem wao maana wanatushobokea sana.
 
Inavyosemekana kutokana na ubize wa maisha, stress na joto kali eti wanaume wengi sana wa dar...(sio wote ila ni % kubwa) hawana uwezo wa kuwaridhisha wanawake kimapenzi.
Ongeza na chips & kuku wa kisasa.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…