Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume wa dar wanatumia mikorogo ya wake zao.
Kweli mkuu...hapo alikuwa kabana pua...so akajisahau akayaweka maneno Kwa maandishiSi unaona lugha zao tu. Kweli wanaume wa dar ni matatizo
Tabia zipi hizo zisizovumilika kirahisi?na ambazo ni za ajabu?fafanua dadaWanaume wa Dar wana tabia zao za ajabu ambazo hazivumiliki kirahisi ila kwa suala la kitandani kwa kweli wanajitahidi sio kama mnavyowasema humu.
Na kingine wanaume wa Dar wako smart sana. Unaweza ukakutana na dalali kavaa utasema banker.
Na wanajitahidi sana kuhudumia jamani. Dar wanawake hatulali njaa kizembe zembe. Mwanaume akikutoa anajua unatakiwa hela ya usafiri. Kikubwa ninachowapendea wanajitahidi kutupa dada zenu wa mikoani pesa.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Sio kuchunwa wanajua wajibu wao.
Hii imenikumbusha jamaa mmoja tulikutana sehemu kwa ajili ya kuengeza ujuzi,baada ya miezi minne class ikabidi tupate wiki mbili porini dah, yaani jamaa kabidilika rangi kawa kama mkaa weupe umepotea.Wanaume wa dar wanatumia mikorogo ya wake zao.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Hizi ni tabia za baadhi ya watu bana hasa wa mjini manake kila mkoa kuna mjini kwake pia kwa hiyo sio lazima watoke DarAgizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.
Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...
+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii marehemu
+Hamumfukii marehemu
Mnachokiweza ni kukaa na kupiga soga. Mmefanya misiba ni vijiwe vya kuzungumzia siasa.
Sasa tunasema hivi. Msiba ukitokea mbaki huko huko make mkija hakuna mnalofanya..
Mfano:
#1. Hata ukifika muda wa chakula unasikia "Wageni kutoka dar waanze kula kwanza"
#2. Siku moja tupo tunachimba kaburi, Tukaletewa maji ya Kunywa ya chupa.. Mzee mmoja akasema "maji ya kunywa yamenunuliwa kwa ajili ya wageni wa dar tu"
3. Pia mnakuja na masimu yenu kujipigapiga picha tu na KUJIRUSHA Facebook eti mko msibani wakati hamfanyi lolote
Wanaume wa DAR utawataka kwenye mabasi ya mwendo kasi. Ni dakika 30 tu hadi town. Wanavyokimbilia kuwahi viti ili wakae ni aibu. Wamelegea mno jamani.
Kauli hii imetolewa na:
Umoja wa Wanaume wa Mikoani. Wanaotambua maana ya "Uanaume"
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Hizi ni tabia za baadhi ya watu bana hasa wa mjini manake kila mkoa kuna mjini kwake pia kwa hiyo sio lazima watoke Dar
Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.