SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

Wanaume wa mikoani karibuni Dar muone wanaume wa wanavyoishi, hawachagui kazi, unamkuta mkaka yuko saloon anasuka yebo yebo, kichwa 20,000. Mpaka jioni amekusanya 200,000 au Zaidi ya hapo, anaingia kwenye usafiri wake anakwenda kupumzika kwake.
Hizo kazi za kusuka yebo yebo ndio hupelekea wanaume wengi kupumuliwa,
 
Kwahiyo ni wepesi sana kuchunwa eeh?
 
Wanaume wa dar waoga kweli vita yao na makonda wanaigeuza kijanja iwe ya nchi nzima aiseee mwanaume mmoja wa mkoani wanashindwa kumng'oa mpaka wanaomba msaada kwa ka mwanamke ka kipare kasiko hata na jeuri ya kurudi nchini.
Wanapenda sloop
 
Wanaume wa mikoani karibuni Dar muone wanaume wa wanavyoishi, hawachagui kazi, unamkuta mkaka yuko saloon anasuka yebo yebo, kichwa 20,000. Mpaka jioni amekusanya 200,000 au Zaidi ya hapo, anaingia kwenye usafiri wake anakwenda kupumzika kwake.
Wanaume wa Dar bwana,hao wa kukaa saloon si ndio sio riziki,hivi mnawapendea nin lkn!?
 
Wanaume wa DAR sababu ya kula chips kwa wingi UFANISI wao kitandani ni mdogo au zero kama alivyo mkuu wao wa jiji mr. zero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…