chuganian
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 1,067
- 1,109
wamefanyaje?Hao ni wa tanga jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamefanyaje?Hao ni wa tanga jaman
Haa haaa! Wanauma wa Dar mnapovu jingi, latosha kufulia nguo za watz wote nchini.Mnataka kufua wanawake wa mikoani? Waume zenu hawana pesa za sabuni?
Hapo ndo huwa mnanifurahisha, ikiletwa mada ya wanaume wa Dar, wote mnalikana jiji la bwana Bashite lol!Mimi sio wa Dar buana
Haha shindwa mimi hata Dar sipajui napaskia tu humu jukwaani Dar Dar mimi mwanaume wa NamtumboHaa haaa! Wanauma wa Dar mnapovu jingi, latosha kufulia nguo za watz wote nchini.
Dar kwa bashite tu na maguHapo ndo huwa mnanifurahisha, ikiletwa mada ya wanaume wa Dar, wote mnalikana jiji la bwana Bashite lol!
Si unaona lugha zao tu. Kweli wanaume wa dar ni matatizoViwanaume vya mikoani utavijua tu
Mwanaume akifika dar siku ya pili tu anaanza kubadirika na kuanza kula chips, ikipita miaka 5+ basi anakuwa mlaini na zile sifa za wanaume wa mikoa zinapoteaHivi hao wa dar si ndio wametoka mikoani
Hizo kazi za kusuka yebo yebo ndio hupelekea wanaume wengi kupumuliwa,Wanaume wa mikoani karibuni Dar muone wanaume wa wanavyoishi, hawachagui kazi, unamkuta mkaka yuko saloon anasuka yebo yebo, kichwa 20,000. Mpaka jioni amekusanya 200,000 au Zaidi ya hapo, anaingia kwenye usafiri wake anakwenda kupumzika kwake.
Kwahiyo ni wepesi sana kuchunwa eeh?Wanaume wa Dar wana tabia zao za ajabu ambazo hazivumiliki kirahisi ila kwa suala la kitandani kwa kweli wanajitahidi sio kama mnavyowasema humu.
Na kingine wanaume wa Dar wako smart sana. Unaweza ukakutana na dalali kavaa utasema banker.
Na wanajitahidi sana kuhudumia jamani. Dar wanawake hatulali njaa kizembe zembe. Mwanaume akikutoa anajua unatakiwa hela ya usafiri. Kikubwa ninachowapendea wanajitahidi kutupa dada zenu wa mikoani pesa.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Sio kuchunwa wanajua wajibu wao.Kwahiyo ni wepesi sana kuchunwa eeh?
Asante mkuu.Pole sana bibie..!
Wanapenda sloopWanaume wa dar waoga kweli vita yao na makonda wanaigeuza kijanja iwe ya nchi nzima aiseee mwanaume mmoja wa mkoani wanashindwa kumng'oa mpaka wanaomba msaada kwa ka mwanamke ka kipare kasiko hata na jeuri ya kurudi nchini.
Wanaume wa Dar bwana,hao wa kukaa saloon si ndio sio riziki,hivi mnawapendea nin lkn!?Wanaume wa mikoani karibuni Dar muone wanaume wa wanavyoishi, hawachagui kazi, unamkuta mkaka yuko saloon anasuka yebo yebo, kichwa 20,000. Mpaka jioni amekusanya 200,000 au Zaidi ya hapo, anaingia kwenye usafiri wake anakwenda kupumzika kwake.
Mkuu mbona unatoka nduki.Mimi sio wa Dar buana