Swali: Kwanini jamii inatunyanyasa wanaume na kuwapendelea wanawake?

Swali: Kwanini jamii inatunyanyasa wanaume na kuwapendelea wanawake?

ShyaRuwa

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
7,895
Reaction score
13,643
Wajumbe wa jukwaa amani iwe nanyi,

Binadamu tuna majukumu mengi sana hapa duniani, lakini jukumu moja na muhimu zaidi ni kuzaa watoto, kuwalea na kuwawezesha ili nao wazae watoto na kuendeleza jamii yetu. Lakini hatuzai tuu hovyo hovyo, lazima tutafute wenza wenye uwezo wa kuzaa na kulea/kutunza hao watoto tutakaozaa. Kwa maana hiyo kila mtu lazima atafute mwenza, amtathimini kama anao uwezo wa kuzaa na kulea watoto. Hili jambo la kutafuta wenza na kuwafanyia analysis linafanywa na KE pamoja na ME pia, tena tunalifanya bila kujua lengo lake (Unconsciously)

JINSI WANAWAKE WANAVYOTAFUTA WENZA:
Mwanamke yeye analo jukumu la kuchagua ME wa kuzaa nae, lazima ahakikishe kuwa huyo mwanaume anao uwezo wa kuhudumia familia itakayoundwa. Kwa maana hiyo, ni jambo la kawaida na haki kwa mwanamke kumchagua mwanaume mwenye PESA. Kumbuka, pesa ndiyo itakayoleta chakula, mavazi, malazi na kulipia huduma za elimu na afya kwenye familia.

Jukumu la mwanamke ni kuzaa watoto ili kuunda familia, jukumu la mwanaume ni kuhudumia familia.Familia inahudumiwa kwa kuwepo kwa fedha, na fedha italetwa na mwanaume kwenye familia (ata wanawake wanaweza pia). Mwanamke atamtambua mwanaume mwenye fedha kwa kuangalia uwepo wa vitu kama; gari analoendesha, viatu alivyo vaa, nguo, nyumba na mtaa anamoishi. Wakati wa kubaini uwepo wa hivyo viashiria vya uwezo wa ME kuhudumia familia, mwanamke atamchunguza mwanaume bila kuonekana kama muhuni huko mitaani.

JINSI WANAUME WANAVYOTAFUTA WENZA:
Mwanaume yeye ni muhudumu wa familia, anahitaji mwanamke wa kuzaa nae watoto. Mwanaume atamchagua mwanamke mwenye uwezo wa kuzaa. Hivyo mwanaume(sidhani kama ni wote) atamchagua mwanamke mwenye hips nzuri, kalio la kutosha, nyonyo ya maana na umbo zuri kwa ujumla. Sasa jamii inapotuonea wanaume ni wakati tunawachukuza wanawake kama wanafaa kuwa suitable mates, mwanaume atamdadisi mwanamke kwa kumpiga chabo (ogling). Mwanaume akikutwa anapiga chabo anaonekana kama mtu asiye na tabia nzuri ili hali anatimiza wajibu wake. Matokeo yake wanaume wamekuwa wakitimiza huu wajibu kwa kujiiba ili kuepuka kuonekana wahuni.

Kwa nini iwe haki kwa mwanamke anapomchunguza mwanaume kama anayo pesa ya kutosha kuhudumia familia lakini ni haramu kwa mwanaume kumchunguza mwanamke kama anao uwezo mzuri wa kuzaa kwa kuangalia umbo lake?

Wanawake nao wanatupiga chabo kwa kiasi kibwa sana, ila sii rahisi kubainika kwa sababu wana 'strong peripheral visions' kitu kinachowasaidia kupiga chabo bila kugeuza shingo.Sisi wanaume tuna 'strong tunnel vision than peripheral' yaani tunaona zaidi wima kwa mbele kuliko pembeni, ndio maana inatubidi tugeuze shingo wakati wa kupiga chabo, matokeo yake tunaonekana wahuni na watu wasiyo na maadili mema.

Baada ya hayo maelezo machache nauliza. KWA NINI JAMII INATUNYANYASA WANAUME NA KUWAPENDELEA WANAWAKE?
 
Aisee..? Hivi wale wanaowakatia shingo wanawake kuanzia wanapotokea wanawasindikiza kwa macho mpaka wanapotelea ni wakina nani?

Nauliza tu.
 
jamii ina wanaume na wanawake,kama wanawake "wanapendelewa" basi wanaowapendelea ni wanaume.kwani wewe unapendelea wanaume au wanawake??
 
Wewe ni muongo kwelikweli, ulikatazwa na nani usimchunguze mwanamke utakae kumuoa!
Hakuna aliyetukataza, ila kwanini tukichabo tunaonekana wahuni?

Kwa nini ukimpiga chabo mwanamke, KE wengine wanapatwa hasira?
 
jamii ina wanaume na wanawake,kama wanawake "wanapendelewa" basi wanaowapendelea ni wanaume.kwani wewe unapendelea wanaume au wanawake??
Mimi sijasema wanaowapendelea ni kina nani?

Mimi nauliza kwa nini mitazamo ya ME inaonekana ni negative kwenye jamii?
 
Aisee..? Hivi wale wanaowakatia shingo wanawake kuanzia wanapotokea wanawasindikiza kwa macho mpaka wanapotelea ni wakina nani?

Nauliza tu.
Mimi sijasema kuwa wanaume hawawapigi wanawake chabo,

Nimeuliza kwa nini mwanaume akifanya ogling anaonekana kama mwendekeza zinaa aliyepotoka?

Angalia jinsi watu wanavyomchukulia mwanaume anayepiga chabo, wanamwona kama mzinzi aliyepotoka....je ni kwa nini?
 
Zamani ndio nilikuwa nashtukiwa hovyo hovyo, ila sasa hivi nimeshamaster mbinu, tatizo ni kwa hawa wenzangu wanaoonekana wahuni kwa kutimiza wajibu wao,...je kwa nini iwe hivyo?
Basi msipige tena 'chabo' angalieni 'live' bila chenga...

We call it "mubaashara"
 
Basi msipige tena 'chabo' angalieni 'live' bila chenga...

We call it "mubaashara"
Mimi nilishaacha kupiga chabo....siku hizi nikikutana na fursa ninageuka ili kuangalia mzigo wote in full three dimensions,...nani anataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia?
 
Loh! siye wafuasi wa CHAPUTA chabo ni kwaajili ya kukusanya taswira kwaajili ya nyeto,...nyie endeleeni kutafuta hao masweet wa kuzaa nao.
 
Mwanamke akiwa na tabia ya kuangalia angalia wanaume tunamwita macho juu juu hajatulia
 
Back
Top Bottom