Swali: Kwanini viongozi wa Kiafrika mara nyingi ni vigumu kujiuzulu kwa hiari?

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari!
Naomba majibu mafupimafupi.
Kwanini viongozi wa Kiafrika huwa ni wagumu kuachia ngazi zao kwa hiari pasi kushinikizwa?
Kiongozi wa Kiafrika akijiuzulu basi ni dhahiri shahiri kuwa hana namna na ameona kuwa nafasi yake imeshakoma au atajiuzulu kwa barua ya command kutoka kwa mkubwa wake.
Wenzetu wakiteleza kidogo tu wanaomba msamaha kwa wananchi kwa kujiuzulu.
Sisi tunakwama wapi?
 
Urafi wa madaraka pia kujihuzulu kuna fufisha status sasa ukute mtu anamalengo yake afike mahali fulani, kujihuzulu kunakufanya urudi nyuma hatua kadhaa!.
By the way njaa kali sana. 😂
 
Wenzetu hata wakipishana misimamo mmoja anaachia ngazi ili kulinda heshima yake
 
Habari!
Naomba majibu mafupimafupi.
Kwanini viongozi wa Kiafrika huwa ni wagumu kuachia ngazi zao kwa hiari pasi kushinikizwa?
Kiongozi wa Kiafrika akijiuzulu basi ni dhahiri shahiri kuwa hana namna na ameona kuwa nafasi yake imeshakoma au atajiuzulu kwa barua ya command kutoka kwa mkubwa wake.
Wenzetu wakiteleza kidogo tu wanaomba msamaha kwa wananchi kwa kujiuzulu.
Sisi tunakwama wapi?
Uroho wa madaraka.
 
Very simpo, kwa sababu wote wameingia madarakani bila ya masharti ,mipiga kura msipige kura mkimchagua msimchague yeye ndie mshindi, sasa unafikiri atajiuzulu ntu hapo, zaidi ni kuuwana tu ,wauane mwengine apate cheo yeye. lakini kujiuzulu ? Huo ni msamiati mpya kwao.
 
Kwa sababu siasa afrika ni ajira, na siyo nafasi ya kutumikia watu
 
Habari!
Naomba majibu mafupimafupi.
Kwanini viongozi wa Kiafrika huwa ni wagumu kuachia ngazi zao kwa hiari pasi kushinikizwa?
Kiongozi wa Kiafrika akijiuzulu basi ni dhahiri shahiri kuwa hana namna na ameona kuwa nafasi yake imeshakoma au atajiuzulu kwa barua ya command kutoka kwa mkubwa wake.
Wenzetu wakiteleza kidogo tu wanaomba msamaha kwa wananchi kwa kujiuzulu.
Sisi tunakwama wapi?
Hawapo ajili ya kutumikia wananchi isipokuwa wanatumikia familia zao pekee
 
Very simpo, kwa sababu wote wameingia madarakani bila ya masharti ,mipiga kura msipige kura mkimchagua msimchague yeye ndie mshindi, sasa unafikiri atajiuzulu ntu hapo, zaidi ni kuuwana tu ,wauane mwengine apate cheo yeye. lakini kujiuzulu ? Huo ni msamiati mpya kwao.
Jamaa wanaishi kwenye sayari yao tofauti kabisa
 
Wanajua wakifika juu kuwa viongozi basi wanaongozi matahira ila kuna wengine huwa at least wanajitahidi na kuwasukia mipango ya kuwaulia mbali
 
Sasa hivi wanasubiri tangazo la nani kapata uwaziri,kila mmoja ana tamaa atachaguliwa yeye ,aende akachukuwe chake mapema.
 
Back
Top Bottom