Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wenzetu hata wakipishana misimamo mmoja anaachia ngazi ili kulinda heshima yakeUrafi wa madaraka pia kujihuzulu kuna fufisha status sasa ukute mtu anamalengo yake afike mahali fulani, kujihuzulu kunakufanya urudi nyuma hatua kadhaa!.
By the way njaa kali sana. 😂
Wenzetu wanapembea kwa ethics na wako serious.Wenzetu hata wakipishana misimamo mmoja anaachia ngazi ili kulinda heshima yake
Uroho wa madaraka.Habari!
Naomba majibu mafupimafupi.
Kwanini viongozi wa Kiafrika huwa ni wagumu kuachia ngazi zao kwa hiari pasi kushinikizwa?
Kiongozi wa Kiafrika akijiuzulu basi ni dhahiri shahiri kuwa hana namna na ameona kuwa nafasi yake imeshakoma au atajiuzulu kwa barua ya command kutoka kwa mkubwa wake.
Wenzetu wakiteleza kidogo tu wanaomba msamaha kwa wananchi kwa kujiuzulu.
Sisi tunakwama wapi?
Wenzetu hata wakipishana misimamo mmoja anaachia ngazi ili kulinda heshima yake
KumbeNinyi hamna hizo heshima za kulinda, kama hata mnajua heshima ni nini.!
Kwa sababu siasa afrika ni ajira, na siyo nafasi ya kutumikia watuHabari!
Naomba majibu mafupimafupi.
Kwanini viongozi wa Kiafrika huwa ni wagumu kuachia ngazi zao kwa hiari pasi kushinikizwa?
Kiongozi wa Kiafrika akijiuzulu basi ni dhahiri shahiri kuwa hana namna na ameona kuwa nafasi yake imeshakoma au atajiuzulu kwa barua ya command kutoka kwa mkubwa wake.
Wenzetu wakiteleza kidogo tu wanaomba msamaha kwa wananchi kwa kujiuzulu.
Sisi tunakwama wapi?
Hili jibu limenishibishaKwa sababu siasa afrika ni ajira, na siyo nafasi ya kutumikia watu
Hawapo ajili ya kutumikia wananchi isipokuwa wanatumikia familia zao pekeeHabari!
Naomba majibu mafupimafupi.
Kwanini viongozi wa Kiafrika huwa ni wagumu kuachia ngazi zao kwa hiari pasi kushinikizwa?
Kiongozi wa Kiafrika akijiuzulu basi ni dhahiri shahiri kuwa hana namna na ameona kuwa nafasi yake imeshakoma au atajiuzulu kwa barua ya command kutoka kwa mkubwa wake.
Wenzetu wakiteleza kidogo tu wanaomba msamaha kwa wananchi kwa kujiuzulu.
Sisi tunakwama wapi?
Jamaa wanaishi kwenye sayari yao tofauti kabisaVery simpo, kwa sababu wote wameingia madarakani bila ya masharti ,mipiga kura msipige kura mkimchagua msimchague yeye ndie mshindi, sasa unafikiri atajiuzulu ntu hapo, zaidi ni kuuwana tu ,wauane mwengine apate cheo yeye. lakini kujiuzulu ? Huo ni msamiati mpya kwao.