Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee ni ile inaacha moshi nyumaa inapita juuu san😃😃😃😃😃😃 Angani Kuna vingi, kunguru, drone, helicopter, Boeing 778.
Wewe unasema ile ndege ya masafa marefu Sana ambayo ikipita inaacha Moshi nyuma na kuchora mstari kiufupi wanaita rocket. 😃😃😃😃😃
Ni fiuzi zimeachia 🐵Eti ni nini ilee
ChemtrailsEti ni nini ilee
Ile ni ndege ya kawaida ya abiria, na kile kinachotoka nyuma kama moshi si moshi kwa kiingereza inaitwa contrails , hutokea pale hewa ya moto kutoka kwenye injini ya ndege inapokutana na hewa ya baridi sana kwenye anga za juu.Je, ile ni roket au ndege??
Aisee!Ile ni ndege ya kawaida ya abiria, na kile kinachotoka nyuma kama moshi si moshi kwa kiingereza inaitwa contrails , hutokea pale hewa ya moto kutoka kwenye injini ya ndege inapokutana na hewa ya baridi sana kwenye anga za juu.
contrails ni kifupi cha condensation trails.
![]()
Ile ndege ni kama hii dreamliner ya air Tanzania inaweza kuruka umbali ule na kutoa contrails, sio roketi ile.
Mfano mdogo unapozungumza kwenye baridi kuna kama moshi unatokea kwenye mdomo.
![]()
Wengine wataelezea zaidi.
Ni ndege za kawaida kama hizi za abiria za kawaida.Aisee!
Miaka yote nilikuwa najua ni ndege ya mizigo kumbe hata ndege ya abiria
huweza kuwa na huo "moshi"?😄😄😄
Shukran kwa Elimu mkuu!
Nimejifunza kituIle ni ndege ya kawaida ya abiria, na kile kinachotoka nyuma kama moshi si moshi kwa kiingereza inaitwa contrails , hutokea pale hewa ya moto kutoka kwenye injini ya ndege inapokutana na hewa ya baridi sana kwenye anga za juu.
contrails ni kifupi cha condensation trails.
![]()
Ile ndege ni kama hii dreamliner ya air Tanzania inaweza kuruka umbali ule na kutoa contrails, sio roketi ile.
Mfano mdogo unapozungumza kwenye baridi kuna kama moshi unatokea kwenye mdomo.
![]()
Wengine wataelezea zaidi.
Unajua mwanafunzi hawezi kumpita Mwalimu wake kwa uelewa wa somo? Na mimi nilifahamu kwa kadiri ya nilivyofundishwa na "walimu" wangu wa kipindi hicho(siyo walimu kitaaluma bali wakubwa zangu nyumbani na kijijini) ambao kwa bahati mbaya wao wenyewe na "walimu" wao hawakuwa wamewahi hata kuiona ndege. Japo mimi nilishawazidi katika kipengele cha kupanda ndege, lakini bado walichonifundisha kiliendelea kutamalaki akilini mwangu.Ni ndege za kawaida kama hizi za abiria za kawaida.
Ndege za mizigo tofauti yake ni imetengenezwa kwa ajili ya mizigo, unakuta haina madirisha mengi kama ya abiria, ina milango mikubwa pembeni au nyuma ya ndege n.k lakini kuhusu umbali wa anga kuruka zinalingana hakuna tofauti.
Dah nimejifunza hapa,nawaambiaga wanangu ni rocket🏃🏃🏃Ile ni ndege ya kawaida ya abiria, na kile kinachotoka nyuma kama moshi si moshi kwa kiingereza inaitwa contrails , hutokea pale hewa ya moto kutoka kwenye injini ya ndege inapokutana na hewa ya baridi sana kwenye anga za juu.
contrails ni kifupi cha condensation trails.
![]()
Ile ndege ni kama hii dreamliner ya air Tanzania inaweza kuruka umbali ule na kutoa contrails, sio roketi ile.
Mfano mdogo unapozungumza kwenye baridi kuna kama moshi unatokea kwenye mdomo.
![]()
Wengine wataelezea zaidi.