Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
SahihiWanawake wana hulka ya kulinda uzao wao uendelee. Hawapendi mwanamke mwingine kwa ajili ya hofu hiyo kuwa familia inaweza kupata upungufu wa mahitaji. Hata wakikubali n ni KWANI HAWANA NAMNA NYINGINE.