maaelewano na makubaliano..
maelewano ila hakuna makubalianoMaaelewano na makubaliano..
Inasikitisha kwa siku hizi magonjwa as hao wanawake nao wengi hucheza nje na hivyo magonjwa kaaa wanauana tu
Kwa mwanamke hii sijui kwanini katika maeneo yote duniani mwanamke lazima ajishushie heshima na ndivyo ilivyo wengi wanacheza nje ya ndoa zao na wanaume wakijua wanabaki kulia na kujuta wao
Duh sijui niandike nini tena mambo mengi
As long as anajua yuko kwa mke mwengine angalau inaleta afueni. Shida ni wale ambao wanaacha wake zao halafu wanakwenda kulala kwenye nyumba ndogo. Ile ndiyo inauma sana sana.
nakubaliana na wewe.. Kwa kuongeza ni swala la kiimani zaidi.. Kwa hiyo wanajisikia poa...! Nilivyosikia kwa wenzetu/ ndugu zetu waislamu mke akiruhusu mume kuongeza mke wa pili basi ana malipo yake mbinguni!.. Kwa hiyo imekaa kiimani zaidi
kufuli moja inayofunguliwa na kila funguo hujuilikana kuwa ni mbovu ila funguo moja yenye uwezo wa kufungua kila kufuli inaitwa master key.
Ni swala ambalo haliumizi sana kichwa! Lilianza kwa manabii ktk vitabu vya dini! Anyway the answer is ... Mwanamume hata akiwa na wanawake mia wanapopata ujauzito dhahiri itafahamika mimba ni ya huyu bwana! Je wakiwa wanaume mia kwa mwanamke 1 mimba itafahamika ya nani? Utata.. Thats why its not accepted. Pia kwa mume hakuna kinyaa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja kwani fikiria midume mingi ikamwage mbegu zao kwa mwanamke mmoja halafu na mimi pia niende nikaingize maumbile yangu humo humo? Lkn kwa bwana mmoja akiwa anaweka mbegu sehemu tofauti hakuna kinyaa! Tafakari vizuri![/QUOTE]
Hivi kinyaa ni kwa kuhisi tu? Je ikiwa mwanamke naye anakuwa na zaidi ya mmoja na mue akaingiza mkonga wake, hicho si kinyaa?