Swali kwenu wenye wake zaidi ya mmoja na mnaomiliki mume mmoja

Swali kwenu wenye wake zaidi ya mmoja na mnaomiliki mume mmoja

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
798
Reaction score
541
Samahani kama nimekukwaza. Nina swali moja kwa kina dada walioolewa na mwanaume ambaye ana mke zaidi ya mmoja kwamba Je huwa wanajisikiaje mume anapoaga kuwa anaenda kwa mke mdogo au mkubwa kulala? Je ingekuwa pia mke ana uwezo wa kuolewa na wanaume wawili je wewe ungechukua uamuzi gani pale mkeo anapokuaga kuwa anaenda kwa mume mwingine kulala?
 
Ni swala ambalo haliumizi sana kichwa! Lilianza kwa manabii ktk vitabu vya dini! Anyway the answer is ... Mwanamume hata akiwa na wanawake mia wanapopata ujauzito dhahiri itafahamika mimba ni ya huyu bwana! Je wakiwa wanaume mia kwa mwanamke 1 mimba itafahamika ya nani? Utata.. Thats why its not accepted. Pia kwa mume hakuna kinyaa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja kwani fikiria midume mingi ikamwage mbegu zao kwa mwanamke mmoja halafu na mimi pia niende nikaingize maumbile yangu humo humo? Lkn kwa bwana mmoja akiwa anaweka mbegu sehemu tofauti hakuna kinyaa! Tafakari vizuri!
 
As long as anajua yuko kwa mke mwengine angalau inaleta afueni. Shida ni wale ambao wanaacha wake zao halafu wanakwenda kulala kwenye nyumba ndogo. Ile ndiyo inauma sana sana.
 
on mah side ntachukulia pouwa manake amekuwa muwazi . Suppose angekuw anakucheat thn ukagundua . Heri akuagaye au akujuzaye
 
Inasikitisha kwa siku hizi magonjwa as hao wanawake nao wengi hucheza nje na hivyo magonjwa kaaa wanauana tu

Kwa mwanamke hii sijui kwanini katika maeneo yote duniani mwanamke lazima ajishushie heshima na ndivyo ilivyo wengi wanacheza nje ya ndoa zao na wanaume wakijua wanabaki kulia na kujuta wao

Duh sijui niandike nini tena mambo mengi
 
kufuli moja inayofunguliwa na kila funguo hujuilikana kuwa ni mbovu ila funguo moja yenye uwezo wa kufungua kila kufuli inaitwa master key.
 
maaelewano na makubaliano..

nakubaliana na wewe.. Kwa kuongeza ni swala la kiimani zaidi.. Kwa hiyo wanajisikia poa...! Nilivyosikia kwa wenzetu/ ndugu zetu waislamu mke akiruhusu mume kuongeza mke wa pili basi ana malipo yake mbinguni!.. Kwa hiyo imekaa kiimani zaidi
 
Mpaka kukubali ndoa ya wake wengi ina maana hutojisikia vibaya.
Utaona kawaida tu.
 
Inasikitisha kwa siku hizi magonjwa as hao wanawake nao wengi hucheza nje na hivyo magonjwa kaaa wanauana tu

Kwa mwanamke hii sijui kwanini katika maeneo yote duniani mwanamke lazima ajishushie heshima na ndivyo ilivyo wengi wanacheza nje ya ndoa zao na wanaume wakijua wanabaki kulia na kujuta wao

Duh sijui niandike nini tena mambo mengi

taja machache
 
As long as anajua yuko kwa mke mwengine angalau inaleta afueni. Shida ni wale ambao wanaacha wake zao halafu wanakwenda kulala kwenye nyumba ndogo. Ile ndiyo inauma sana sana.

oraiti bintimkongwe,
kwahiyo hapa issue ni kwamba,
kuna nyumba ndogo rasmi na zisizo rasmi!
Lakinidhana ni ile ile tu kuwa anaenda,
kulala na mwanamke mwingine tofauti na wewe!
 
nakubaliana na wewe.. Kwa kuongeza ni swala la kiimani zaidi.. Kwa hiyo wanajisikia poa...! Nilivyosikia kwa wenzetu/ ndugu zetu waislamu mke akiruhusu mume kuongeza mke wa pili basi ana malipo yake mbinguni!.. Kwa hiyo imekaa kiimani zaidi

Hiyo ni kauli tu na kumpa moyo mwanamke kwani sheria tayari inamruhusu mwanamume kuoa hata bila ya ruhusa ya mke wake; na hata mke akiwa amekataa na mume akashikilia na kuoa, mume hataenda motoni.
 
Ni swala ambalo haliumizi sana kichwa! Lilianza kwa manabii ktk vitabu vya dini! Anyway the answer is ... Mwanamume hata akiwa na wanawake mia wanapopata ujauzito dhahiri itafahamika mimba ni ya huyu bwana! Je wakiwa wanaume mia kwa mwanamke 1 mimba itafahamika ya nani? Utata.. Thats why its not accepted. Pia kwa mume hakuna kinyaa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja kwani fikiria midume mingi ikamwage mbegu zao kwa mwanamke mmoja halafu na mimi pia niende nikaingize maumbile yangu humo humo? Lkn kwa bwana mmoja akiwa anaweka mbegu sehemu tofauti hakuna kinyaa! Tafakari vizuri![/QUOTE]
Hivi kinyaa ni kwa kuhisi tu? Je ikiwa mwanamke naye anakuwa na zaidi ya mmoja na mue akaingiza mkonga wake, hicho si kinyaa?

Back
Top Bottom