Digaller
JF-Expert Member
- Oct 20, 2009
- 798
- 541
Samahani kama nimekukwaza. Nina swali moja kwa kina dada walioolewa na mwanaume ambaye ana mke zaidi ya mmoja kwamba Je huwa wanajisikiaje mume anapoaga kuwa anaenda kwa mke mdogo au mkubwa kulala? Je ingekuwa pia mke ana uwezo wa kuolewa na wanaume wawili je wewe ungechukua uamuzi gani pale mkeo anapokuaga kuwa anaenda kwa mume mwingine kulala?