Swali la ki chitchat

Hahaaaaa umemuweza johh

mjibu tu ila chunga ban ni mbaya kwa afy

Mkuu mpotezee banaa. Hili swali ingekua fresh kama ungepeleka Jf doctor forum maana hapa ni utani kwenda mbele tu. So don't be curious

watu hawajui kama hapa ni chit chat pia mtu anatoa mada za ovyo anataka majibu mazuri sijui wanafikiriaga kupitia wapi

Hahaaa, sasa sijui nani alipanick.
Snipes mbona wote tulipeana majibu ya ovyo?
Ndo maana nikakwambia relax yale yalikuwa maongezi ya ki chit-chat. [emoji12]
 
Hahaaa, sasa sijui nani alipanick.
Snipes mbona wote tulipeana majibu ya ovyo?
Ndo maana nikakwambia relax yale yalikuwa maongezi ya ki chit-chat. [emoji12]
Napenda watu kama ww walah
Watu wasio panic ndio ma friends Zangu
 
Hata mimi nina twin sister mbona.. Lakini sivyo kama unavyodhania..
 
Hata mimi nina twin sister mbona.. Lakini sivyo kama unavyodhania..

Kusikia hivi kunanitia moyo.
Nilisema kwa watu wanaofahamika zaidi kwa sababu kwao inaonekana mengi yawezekana kutokea kwa urahisi.
 
Yawezekana hata maskin
Ndo wanaongoza kwa twins
Lakin huwez kuwajua
Kwakua n watu wa chin
Promo hakuna
 
Eti nasikia mapacha huwa hawawezi
Ni rahisi sana mapacha kuzaa mapacha.. Jaribu uone...
nikisikia eti twins kuzaa twins ni impossible

Mimi napenda kuzaa mapacha jamani though kuwalea wakiwa wadogo ni mziki sio wa kitoto eti ni kweli??
 
Eti nasikia mapacha huwa hawawezi

nikisikia eti twins kuzaa twins ni impossible

Mimi napenda kuzaa mapacha jamani though kuwalea wakiwa wadogo ni mziki sio wa kitoto eti ni kweli??

Sidhani kulea ni shida kama una msaidizi. Kila Lakheri! 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…