Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
Si kosa laoIla bado senior member hajajua vitu vingi ni halali
vipi lakini shwari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kosa laoIla bado senior member hajajua vitu vingi ni halali
Gud kabisaSi kosa lao
vipi lakini shwari
gud gudGud kabisa
Sijui wwe tu
Hahaaaaa umemuweza johh
mjibu tu ila chunga ban ni mbaya kwa afy
Mkuu mpotezee banaa. Hili swali ingekua fresh kama ungepeleka Jf doctor forum maana hapa ni utani kwenda mbele tu. So don't be curious
watu hawajui kama hapa ni chit chat pia mtu anatoa mada za ovyo anataka majibu mazuri sijui wanafikiriaga kupitia wapi
utapata tu just have faith si unajua faith move mountainsKumbe...!
Dah mara 3? I wish [emoji2]
Napenda watu kama ww walahHahaaa, sasa sijui nani alipanick.
Snipes mbona wote tulipeana majibu ya ovyo?
Ndo maana nikakwambia relax yale yalikuwa maongezi ya ki chit-chat. [emoji12]
Safi mkuu tutakua marafikiKupanick sio dili,
Ni vizuri kutuliza akili,
Life is too short kwa hili.
kunywa maji mkuu halafu relax kabla sijakupa jibu lingine la kichit chatHahaaa, sasa sijui nani alipanick.
Snipes mbona wote tulipeana majibu ya ovyo?
Ndo maana nikakwambia relax yale yalikuwa maongezi ya ki chit-chat. [emoji12]
kunywa maji mkuu halafu relax kabla sijakupa jibu lingine la kichit chat
Nalendwa Ray van Boy we are family meeeen
That means hata mimi naweza zalisha mapacha...Kusikia hivi kunanitia moyo.
Nilisema kwa watu wanaofahamika zaidi kwa sababu kwao inaonekana mengi yawezekana kutokea kwa urahisi.
nikisikia eti twins kuzaa twins ni impossibleNi rahisi sana mapacha kuzaa mapacha.. Jaribu uone...
Eti nasikia mapacha huwa hawawezi
nikisikia eti twins kuzaa twins ni impossible
Mimi napenda kuzaa mapacha jamani though kuwalea wakiwa wadogo ni mziki sio wa kitoto eti ni kweli??