Swali la ki chitchat

Sidhani kulea ni shida kama una msaidizi. Kila Lakheri! 🙂
Hahahaahhahahaahahahahaha nimesema tu napenda kuwazaa
Hata mimba sijabeba bado lol
Asante kwa kunitakia kheri ya kutamani kuzaa twins
 
Wengine huwa wanatumia madawa ya kuongeza uwezekano wa kupata twins. Huyu Clooney na mkewe mimba yao ni ile ya kupandikiza si kwa njia ya kawaida. Na mimba hizi uwezekano wa kupata watoto wawili kwenda juu ni mkubwa sana.

Hawa akina B na Jayz inawezekana ni mipango ya Mungu tu au hata madawa pamoja na kuwa mimba inangia kwa njia za kawaida lakini uwezekano wa zaidi ya mtoto mmoja huwa mkubwa.

Na hili ndo nililolifikiria la kutumia madawa ya kuongeza uwezekano wa kupata twins ili wamalizane haraka na shughuli ya kuzaa.

Queen B ndo nilivyodhani, ili arudie U superstar wake haraka.
Clooney na Amal nao kumbe ni kweli nilivyofikiria.
 
Reactions: BAK
Tehteh
Sitaki nataka ndonini kwani???
Maelezo kidogo tafadhar
Sitaki nataka ni ile hali ya mahondaw kumkubali na kumtaka Smart911 lakini analeta kujifanya kama hana habari... Nikikaa kimya unanichokoza nikianza unajifanya hupendi... Dawa yako ipo... Ni matter of time...
 
Naanzaje kukutaka kwa mfano??? Nikukubali kwa swaga zipi mpya chini ya jua????
Heheheee Ustake nicheke miee
 
Naanzaje kukutaka kwa mfano??? Nikukubali kwa swaga zipi mpya chini ya jua????
Heheheee Ustake nicheke miee
Hahaha... Hapa ndiyo napocheka kwa dhaaraau...

Swaga is for boys... Young boys...
A man like me i don't need swag to get a lady like you... Because i know where when and how to get you...

Wewe cheka tu kama ni mazuri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…