Swali la ki chitchat

Hahaha... Hapa ndiyo napocheka kwa dhaaraau...

Swaga is for boys... Young boys...
A man like me i don't need swag to get a lady like you... Because i know where when and how to get you...

Wewe cheka tu kama ni mazuri...
Ndoivo kuna swaga fulani hivi mwanaume akikumwagia mwenyewe unaingia mkenge
Hasa hizo swaga zinapoendana na vitendo dah taratiiiibu unazama mzima mzima teh
Kasheshe inakuja anaposema nyuma geuka..
 
Ndoivo kuna swaga fulani hivi mwanaume akikumwagia mwenyewe unaingia mkenge
Hasa hizo swaga zinapoendana na vitendo dah taratiiiibu unazama mzima mzima teh
Kasheshe inakuja anaposema nyuma geuka..
Nyuma geuka maanake nini? Anakichogo au??
 
Jiran yangu anamapacha hata rafiki yangu pia anapacha hata rafiki wa rafiki yangu ana mapacha....wapo wanapata mapacha kibao sema kamera na vinasa sauti haviwafuatilii.
 
What's that?! Ninong'oneze basiiii
Au twende chemba kidogo
Hapana... Kwani shida ipo wapi... Kesho si jumapili usijali...

Huh!! Hunipeleki chemba wala PM... Siendi huko nimegoma...
Nakujua vuzuri sana wewe... Nitashikwa na kigugumizi huko nijikute naimba mapambio...
 
Una akili had basi.... Nimekupenda bure
 
Hapana... Kwani shida ipo wapi... Kesho si jumapili usijali...

Huh!! Hunipeleki chemba wala PM... Siendi huko nimegoma...
Nakujua vuzuri sana wewe... Nitashikwa na kigugumizi huko nijikute naimba mapambio...
Haa Wee mwanaume mbona Mgumu hivo!
Ukimjua mtu hakupi shida kwenye kuishi nae
Ukiimba mapambio ndo kulegea kwenyew huko
 
Eti nasikia mapacha huwa hawawezi kamwe kuzaa watoto mapacha hivi ni kweli???
Nasikia tu binafsi sijui

Ila I like twins lol!
Ivi mna habari kua mungu ndie anaeumba???? Mungu ndie muamuaji. Hata ungekula na kunywa nini kama mungu kapanga hakupi na hutapata.
 
Mi huwa nakula ndizi mapacha kwa kuamini kuwa mwanamke wangu nkimpa mimba atazaa mapacha [emoji23][emoji23][emoji23]

[HASHTAG]#SijuiNimekulaMaharageYaWapiLeo[/HASHTAG]
 
Ivi mna habari kua mungu ndie anaeumba???? Mungu ndie muamuaji. Hata ungekula na kunywa nini kama mungu kapanga hakupi na hutapata.
Nilisikia tu mamito
Sikuwa na nilijualo juu yahilo
Nikweli apangaye ni Allah
 
Haa Wee mwanaume mbona Mgumu hivo!
Ukimjua mtu hakupi shida kwenye kuishi nae
Ukiimba mapambio ndo kulegea kwenyew huko
Wala sina ugumu kwako... Ila scratch my back and i will scratch your back... You know what do and where to find me...

Ila @mahodaw sikushindi wewe kwa kunidengulia... Mara umenuna kidogo, mara umenichekea kwa sana, mara kimya, mara unaniuliza nipo wapi... Mungu anakuona...

Ila ijumaa manusura roho ikutoke... Hahahah... Ujanja wote mfukoni.
 
Una utani wa ngumi lol
Ijumaa nilichungulia kaburi Wee acha tu
Hapo pa ijumaa hapo umegusa pasipo yani mulemule pozi zote kwishaaaa
Madolido kwishaaaa
Usingizi kwishaaaa hahahaah si ya kucheka haya
 
Una utani wa ngumi lol
Ijumaa nilichungulia kaburi Wee acha tu
Hapo pa ijumaa hapo umegusa pasipo yani mulemule pozi zote kwishaaaa
Madolido kwishaaaa
Usingizi kwishaaaa hahahaah si ya kucheka haya
Hahaha... Nacheka kwa dhaaraaau...

Wewe si unajionaga shujaa... Nikasema ngoja huyu dawa yake leo ipo...

Wacha uanze kupiga kelele... Mbili hazikai moja haikii...

Ila serious nilikuonea ilifika point nakuonea huruma... Ndiyo ukapumua sasa...
 
Hapana chezea aisee hata nguvu ya kula kwishaaaa hahahaah
Dawa yako inachemka Wee ngoja tu
Huwezi nfanyia vile mtoto wa mwanaume mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…