Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Ndoivo kuna swaga fulani hivi mwanaume akikumwagia mwenyewe unaingia mkengeHahaha... Hapa ndiyo napocheka kwa dhaaraau...
Swaga is for boys... Young boys...
A man like me i don't need swag to get a lady like you... Because i know where when and how to get you...
Wewe cheka tu kama ni mazuri...
Hasa hizo swaga zinapoendana na vitendo dah taratiiiibu unazama mzima mzima teh
Kasheshe inakuja anaposema nyuma geuka..