Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tunataka majibu ya kisayansi na si ya kirogi? Kwanini Ulaya Corona ya Mwaka huu haiwaui?Nyuzi za kilogi siku hizi ni nyingi humu
Point ni zile zileTunataka majibu ya kisayansi na si ya kirogi? Kwanini Ulaya Corona ya Mwaka huu haiwaui?
UmetishaPoint ni zile zile
1. Good government support
2 improvement of immunity system
3.Rise of joe biden
4. Role of vaccine
5. Fall of Trump
Vip mkuu niendelee au niachane na point yeboyebo
Bado inawaua mkuu. Kwa jana tu UK wamekufa 1,245 na maambukizi mapya 29,000. Wiki hii hii sikumbuki siku niliona UK wali record vifo vingi zaidi kuwahi kutokea kwa siku tangu corona ianze ambapo watu 1,900 na kitu walidanja ndani ya 24 hours.Tunataka majibu ya kisayansi na si ya kirogi? Kwanini Ulaya Corona ya Mwaka huu haiwaui?
DuhBado inawaua mkuu. Kwa jana tu UK wamekufa 1,245 na maambukizi mapya 29,000. Wiki hii hii sikumbuki siku niliona UK wali record vifo vingi zaidi kuwahi kutokea kwa siku tangu corona ianze ambapo watu 1,900 na kitu walidanja ndani ya 24 hours.
Vifo vinaendelea sema tu ni vile kwa sasa watu wameshazoea hali ilivyo ,,habari hazishtui sana watu kama wakati ule
acha uongo kwani vaccine imeanza kutumika mkuu?Point ni zile zile
1. Good government support
2 improvement of immunity system
3.Rise of joe biden
4. Role of vaccine
5. Fall of Trump
Vip mkuu niendelee au niachane na point yeboyebo
Mwaka jana majira haya nchi za Ulaya na Marekani walikuwa kwenye kipindi kigumu sana.
Raia wao walikuwa wakifa maelfu na maelfu kwa siku sababu ya Corona.
Mbona mwaka huu hawafi? Na ninasikia Kuna wave 2.0 ya Corona ambayo ni mbaya zaidi kuliko ile ya Mwaka jana?
Mkuu usitake kuniamisha kuwa majibu yako ni kwel 100%acha uongo kwani vaccine imeanza kutumika mkuu?
Jibu ni moja tu
Survive for the fittest.
Wale wabovu waliokuwa dhaifu ndio walioakufa wakati wa wave ya kwanza wamebakia watu active ambao tayari wamesha build natural immunity.
hilo jibu ni kweli kabisa kama huamini muulize Hussein machozi aliyeoko Italy Muulize wale waliobakia Italy kuna yeyote aliyepatia dawa yeyote mpaka sasa? Then muulize kwanini watu hawafi mpaka sasa?Mkuu usitake kuniamisha kuwa majibu yako ni kwel 100%
Mtazamo wa mtu uheshimiwe
Kama watu wame build natural immunity inayo wakinga wasipate maambukizi, hiyo chanjo yakazi gani?Jibu ni moja tu
Survive for the fittest.
Wale wabovu waliokuwa dhaifu ndio walioakufa wakati wa wave ya kwanza wamebakia watu active ambao tayari wamesha build natural immunity.
Biashara!Kama watu wame build natural immunity inayo wakinga wasipate maambukizi, hiyo chanjo yakazi gani?
Wanakufa kichizi. Hizi ni takwimu za UKMwaka jana majira haya nchi za Ulaya na Marekani walikuwa kwenye kipindi kigumu sana.
Raia wao walikuwa wakifa maelfu na maelfu kwa siku sababu ya Corona.
Mbona mwaka huu hawafi? Na ninasikia Kuna wave 2.0 ya Corona ambayo ni mbaya zaidi kuliko ile ya Mwaka jana?
Hizi facts ni za hatari sanaHizi za France
France COVID - Coronavirus Statistics - Worldometer
France Coronavirus update with statistics and graphs: total and new cases, deaths per day, mortality and recovery rates, current active cases, recoveries, trends and timeline.www.worldometers.info