Swali la kichawi lenye kuhitaji jibu la kisayansi ya maabara

Tunataka majibu ya kisayansi na si ya kirogi? Kwanini Ulaya Corona ya Mwaka huu haiwaui?
Bado inawaua mkuu. Kwa jana tu UK wamekufa 1,245 na maambukizi mapya 29,000. Wiki hii hii sikumbuki siku niliona UK wali record vifo vingi zaidi kuwahi kutokea kwa siku tangu corona ianze ambapo watu 1,900 na kitu walidanja ndani ya 24 hours.
 
Duh
 
Point ni zile zile
1. Good government support
2 improvement of immunity system
3.Rise of joe biden
4. Role of vaccine
5. Fall of Trump

Vip mkuu niendelee au niachane na point yeboyebo
acha uongo kwani vaccine imeanza kutumika mkuu?
Jibu ni moja tu
Survive for the fittest.
Wale wabovu waliokuwa dhaifu ndio walioakufa wakati wa wave ya kwanza wamebakia watu active ambao tayari wamesha build natural immunity.
 
Mwaka jana majira haya nchi za Ulaya na Marekani walikuwa kwenye kipindi kigumu sana.
Raia wao walikuwa wakifa maelfu na maelfu kwa siku sababu ya Corona.
Mbona mwaka huu hawafi? Na ninasikia Kuna wave 2.0 ya Corona ambayo ni mbaya zaidi kuliko ile ya Mwaka jana?

Jibu ni moja tu
Survive for the fittest.
Wale wabovu waliokuwa dhaifu ndio walioakufa wakati wa wave ya kwanza wamebakia watu active ambao tayari wamesha build natural immunity.
 
acha uongo kwani vaccine imeanza kutumika mkuu?
Jibu ni moja tu
Survive for the fittest.
Wale wabovu waliokuwa dhaifu ndio walioakufa wakati wa wave ya kwanza wamebakia watu active ambao tayari wamesha build natural immunity.
Mkuu usitake kuniamisha kuwa majibu yako ni kwel 100%

Mtazamo wa mtu uheshimiwe
 
hilo jibu ni kweli kabisa kama huamini muulize Hussein machozi aliyeoko Italy Muulize wale waliobakia Italy kuna yeyote aliyepatia dawa yeyote mpaka sasa? Then muulize kwanini watu hawafi mpaka sasa?
 
Jibu ni moja tu
Survive for the fittest.
Wale wabovu waliokuwa dhaifu ndio walioakufa wakati wa wave ya kwanza wamebakia watu active ambao tayari wamesha build natural immunity.
Kama watu wame build natural immunity inayo wakinga wasipate maambukizi, hiyo chanjo yakazi gani?
 
Whites ina wauma sana kuona Tz tuna survive na corona kwetu sii chochote yani hilo tu na kuhusu chanjo ya amfififro ya china wasahau kabiaa
 
Back
Top Bottom