Mabeberu in wale wanaowakopesha ccm ambao huwaita wahisaniDunia inaenda kwa kasi sana, ukizubaa unaachwa!
Wakati wa vita baridi neno Mabeberu lilitumika sana hapa Tanzania. Enzi zile beberu alikuwa ni mtu yoyote asiye mjamaa, mpinga mapinduzi, anayeamini katika soko huria na uliberali..
China ni Mabeberu, hilo halina shaka hata kidogo.Kwa tafsiri hii inawezekana China ni Beberu?
Beberu ni mtu yeyote anayetaka kukupa msaada au huduma kwa njia ya kukudhalilisha, anayetaka kuchukua uhuru wako, kwa kutumia nguvu zake au uwezo wake kifedha nk,Dunia inaenda kwa kasi sana, ukizubaa unaachwa!
Wakati wa vita baridi neno Mabeberu lilitumika sana hapa Tanzania. Enzi zile beberu alikuwa ni mtu yoyote asiye mjamaa, mpinga mapinduzi, anayeamini katika soko huria na uliberali...
Mleta MadaDunia inaenda kwa kasi sana, ukizubaa unaachwa!
Wakati wa vita baridi neno Mabeberu lilitumika sana hapa Tanzania. Enzi zile beberu alikuwa ni mtu yoyote asiye mjamaa, mpinga mapinduzi, anayeamini katika soko huria na uliberali...
La mkuu umekariri! Hivi bado mnafundishwa hii Definition hata leo!Ubeberu ni hatua ya juu ya Ukoloni(imperialism), ambapo nchi tajiri zinaendelea kuzinyonya nchi maskini kwa njia ya uchukuaji wa rasilimali na pia misaada na mikopo yenye masharti magumu.
Vipi kuhusu Wachina!Beberu ni mtu yeyote anayetaka kukupa msaada au huduma kwa njia ya kukudhalilisha, anayetaka kuchukua uhuru wako, kwa kutumia nguvu zake au uwezo wake kifedha nk,
jina beberu linatumika kwa mfano wa mbuzi dume ambae hupenda kumtolea sauti nzito shingoni mwa mbuzi jike hasa pale anapotaka kufanya mapenzi na mbuzi jike
Hivyo huonyesha kama anamkoromea mbuzi jike.
Sasa mabeberu wa kizungu hupenda kutaka kutukoromea sisi waafrica na kutumia misaad yao kutunyanyasa na kutupangia wanachotaka wao hata kama ni cha kudhalilisha.
Mfano mmoja ni ushoga.
Ubeberu ni hatua ya juu ya Ukoloni(imperialism), ambapo nchi tajiri zinaendelea kuzinyonya nchi maskini kwa njia ya uchukuaji wa rasilimali na pia misaada na mikopo yenye masharti magumu.
Halafu beberu aliyekomaa huwa anatoa harufu kali na mbaya!Mabeberu ni mburyati yaani mbuzi mwenye sharubu halafu mkubwa mkubwa hivi anakuwa na mapembe yamepinda kwa nyuma kiasi curled pembe....beberu linaweza kuwa la Madoa na manyoya mengi au rangi yeyote.
View attachment 1270331View attachment 1270332View attachment 1270333
Beberu anaweza kuhasiwa na akawa si beberu tena bali ndafu! Anakuwa haruki ruki anakuwa ametulia. Hivyo basi leo nchi fulani inaweza kuwa beberu kesho ikawa si beberuDunia inaenda kwa kasi sana, ukizubaa unaachwa!
Wakati wa vita baridi neno Mabeberu lilitumika sana hapa Tanzania. Enzi zile beberu alikuwa ni mtu yoyote asiye mjamaa, mpinga mapinduzi, anayeamini katika soko huria na uliberali...
Kwa hiyo sisi Sera zetu ni Kuhasi Màbeberu ...ili waendane na tunachotaka!?Beberu anaweza kuhasiwa na akawa si beberu tena bali ndafu! Anakuwa haruki ruki anakuwa ametulia. Hivyo basi leo nchi fulani inaweza kuwa beberu kesho ikawa si beberu
Kwani maana imebadilika siku hizi?La mkuu umekariri! Hivi bado mnafundishwa hii Definition hata leo!
Mchina hana mda wa masharti yeye akupe pesa ule usile yeye anachotaka ulipe riba yake na mkopo basi ila mambo yako na nchi yako hayamuhusu.Vipi kuhusu Wachina!
Mchina haingilii Mambo ya ndani lakini ana masharti magumu na lazima pesa yake irudi, rejea mtafaruku wa Sri Lanka na hapa kwetu Bandari ya BagamoyoMchina hana mda wa masharti yeye akupe pesa ule usile yeye anachotaka ulipe riba yake na mkopo basi ila mambo yako na nchi yako hayamuhusu.
Magufuli kachakopa 40T toka kwa beberu,Ila yeye hajatumwa na beberu bali anapigania raslimali zetu kwa kukopa toka kwa beberu,kwa hiyo mkuu nakuomba sana hilo neno mikopo litoe kwenye hii post,lina harufu ya uchocheziUbeberu ni hatua ya juu ya Ukoloni(imperialism), ambapo nchi tajiri zinaendelea kuzinyonya nchi maskini kwa njia ya uchukuaji wa rasilimali na pia misaada na mikopo yenye masharti magumu.