Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Am sure Mimi ukinipa fursa huta nisahau [emoji41][emoji41]Ex ambaye bado nampenda sijui..!? HAKUNA kwakweli, huwa nasahau mpaka jina.!
Nampenda milele ASHA AMAN ALLY
sent from HUAWEI
MwaJ mtoto wa Tandale..namiss miuno yakeKama kichwa cha habari kinavyojielezea hebu mtaje X wako kwa jina moja tuu ambae hadi leo bado unampenda
Mimi upande wangu kipenzi changu mtoto Kissa wa pale Mbezi kwa makabe umeniacha mwaka tano hadi leo hii bado namkumbuka bado nampenda
Wewe je?
Mwali, hivi kweli umeamua kuniongezea tobo kwenye moyo wangu....[emoji22]Ex ambaye bado nampenda sijui..!? HAKUNA kwakweli, huwa nasahau mpaka jina.!
Jamani, kwanini tena mwalimu wangu!?Mwali, hivi kweli umeamua kuniongezea tobo kwenye moyo wangu....[emoji22]
Naona umenisahau hadharani...Jamani, kwanini tena mwalimu wangu!?
Kuna pahala umehusika kwani!?