Swali la kizushi: Hebu tutajie jina moja tu la X wako aliyewahi kukuacha lakini bado unampenda

Swali la kizushi: Hebu tutajie jina moja tu la X wako aliyewahi kukuacha lakini bado unampenda

Aliekuambia nina familia ni muongo, tena anatuchonganisha na anataka kutugombanisha. Mimi nipo singo walahi, tena bado mvulana kabisa hata memba wa humu wanatambua...🙄🙄
Haha.
Basi single boy tutaongea..! Walikuwa hawanitakii mema walonidanganya.!
 
Huwa naacha tu. Sijawahi kuachwa.

Nilikuwa hata sijafikiria hili mpaka uzi huu umenistua.
that's too bad,
Nawaonea huruma waachwaji, unaonesha dalili ya kuacha ama unazima mahusiano kama mshumaa?
 
that's too bad,
Nawaonea huruma waachwaji, unaonesha dalili ya kuacha ama unazima mahusiano kama mshumaa?
Hizi ni habari za muda mrefu.

Sasa hivi nimetulia kama mtawa.

Wengi nilionesha dalili.

Wengine tumekuja kuwa marafiki tu.

Karibu wote wananitafuta mpaka kesho.

Wengine washakubali matokeo tumekuwa marafiki tu wamebaki kuimba wimbo wa Whitney Houston.

"And IIIIIII, will always love yoooooou".

Hakuna niliyemuacha kwa shari.
 
Hizi ni habari za muda mrefu.

Sasa hivi nimetulia kama mtawa.

Wengi nilionesha dalili.

Wengine tumekuja kuwa marafiki tu.

Karibu wote wananitafuta mpaka kesho.

Wengine washakubali matokeo tumekuwa marafiki tu wamebaki kuimba wimbo wa Whitney Houston.

"And IIIIIII, will always love yoooooou".

Hakuna niliyemuacha kwa shari.
Nimeuliza dalili kusudi, sababu wengine tukiona dalili tu tunaanza kusanya virago, huwa I don't wait for goodbyes, huwa nasoma tu alama za nyakati.
Wewe unawaza kuni dump unapata Mimi nilisepa muda kweli,

'Sahii nimetulia kama mtawa' - haha, kinda interesting..!
 
Hatukuachana Anaitwa JOYCE

Tukapige kura kuchagua kiongozi Mzuri wa Taifa letu, kiongozi Mwenye Nia ya Dhati na Maendeleo ya Tanzania, kiongoz anae jenga uchumi wa Nchi yetu tusichague kiongozi kwa Kumuonea Huruma

Kila Mtu atimize jukumu lake kwa Maendeleo ya Taifa
Risasi 16 na bado anadunda.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Ex na bado nikupende..maajabu haya

Ila huu Uzi umedhihurisha namna gani wanawake wengi tunaingia kwenye mahusiano ya wanaume wa wengine..Yani upo nae ila moyo upo kwa ex wake[emoji23][emoji23][emoji23] mashokoro

mashokoro mageni haswa[emoji23][emoji23]
 
Ex wangu naempenda mpka kesho kasha comment juu huko..

naomba kuuliza kama hamjafanya chochote pia si ni ex au ni rafiki wa kike?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo juu wanaoweza kuwa wanawake ni I'd mbili. So automatically kama umtajaaa anaye crush huo moyo hahahaaaa...

Relax
 
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea hebu mtaje X wako kwa jina moja tuu ambae hadi leo bado unampenda

Mimi upande wangu kipenzi changu mtoto Kissa wa pale Mbezi kwa makabe umeniacha mwaka tano hadi leo hii bado namkumbuka bado nampenda

Wewe je?
Unahimiza kuchepusha wake zetu eheee?¿
 
Mtoto Kate


Utaniua Mimi siku hizi nashindwa hata kupeperuka na kula mizoga vizuri nakuwaza wewe tu [emoji31][emoji31]
 
Back
Top Bottom