Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Unatafuta ngumi hapa mwalimu, tafadhali sana usinitafutie maadui, sijawahi pigwa kipapai mpaka uzee huu,Naona umenisahau hadharani...
Huyo ni dada yako, mdogo wangu..!Ex wangu naempenda mpka kesho kasha comment juu huko..
naomba kuuliza kama hamjafanya chochote pia si ni ex au ni rafiki wa kike?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ConsolathaKama kichwa cha habari kinavyojielezea hebu mtaje X wako kwa jina moja tuu ambae hadi leo bado unampenda
Mimi upande wangu kipenzi changu mtoto Kissa wa pale Mbezi kwa makabe umeniacha mwaka tano hadi leo hii bado namkumbuka bado nampenda
Wewe je?
Mkuu kwa hilo jina na anakotokea yaelekea ni kuku wa kienyeji,kwa fununu tu nasikia ni watamu balaaYule mrembo alikuwa anaitwa Ndukulukusucho Sumbalawinyola alikuwa anatokea Ikungulyabhashahsi, nilimpenda Sana, Hadi leo sijapenda kama nimpendavyo
Inauma sana wakwetu, usikute hata bae wangu sahii moyo wake unaishi kwa dear ex..!!Ex na bado nikupende..maajabu haya
Ila huu Uzi umedhihurisha namna gani wanawake wengi tunaingia kwenye mahusiano ya wanaume wa wengine..Yani upo nae ila moyo upo kwa ex wakeπππ mashokoro
Kwamba huwa unaacha tu ama wewe hujawahi kabisa miliki ex kwa maisha yako,Uzi huu umenifanya nigundue kwamba sijawahi kuachwa maisha haya.
ππππ..mbaya Sana.Inauma sana wakwetu, usikute hata bae wangu sahii moyo wake unaishi kwa dear ex..!!
I'm singo boy mwali, wallah tena...π€π€Unatafuta ngumi hapa mwalimu, tafadhali sana usinitafutie maadui, sijawahi pigwa kipapai mpaka uzee huu,
Haha,I'm singo boy mwali, wallah tena...π€π€
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo ni dada yako, mdogo wangu..!
Naona umejiskia aibu kujilipua kwa babe cha pombe...π»Haha,
Mwalimu nimeona aibu Mimi jamani, sijui kwanini...
Hell nuh'...!Naona umejiskia aibu kujilipua kwa babe cha pombe...π»
Aliekuambia nina familia ni muongo, tena anatuchonganisha na anataka kutugombanisha. Mimi nipo singo walahi, tena bado mvulana kabisa hata memba wa humu wanatambua...ππHell nuh'...!
Nimeskia aibu vile mtu anavyotaka kuikana Le Family, while anajua Mimi ni No. 1 fan wake.!
Huwa naacha tu. Sijawahi kuachwa.Kwamba huwa unaacha tu ama wewe hujawahi kabisa miliki ex kwa maisha yako,
mpakatoKama kichwa cha habari kinavyojielezea hebu mtaje X wako kwa jina moja tuu ambae hadi leo bado unampenda
Mimi upande wangu kipenzi changu mtoto Kissa wa pale Mbezi kwa makabe umeniacha mwaka tano hadi leo hii bado namkumbuka bado nampenda
Wewe je?