Haha.Aliekuambia nina familia ni muongo, tena anatuchonganisha na anataka kutugombanisha. Mimi nipo singo walahi, tena bado mvulana kabisa hata memba wa humu wanatambua...ππ
that's too bad,Huwa naacha tu. Sijawahi kuachwa.
Nilikuwa hata sijafikiria hili mpaka uzi huu umenistua.
Hizi ni habari za muda mrefu.that's too bad,
Nawaonea huruma waachwaji, unaonesha dalili ya kuacha ama unazima mahusiano kama mshumaa?
Nimeuliza dalili kusudi, sababu wengine tukiona dalili tu tunaanza kusanya virago, huwa I don't wait for goodbyes, huwa nasoma tu alama za nyakati.Hizi ni habari za muda mrefu.
Sasa hivi nimetulia kama mtawa.
Wengi nilionesha dalili.
Wengine tumekuja kuwa marafiki tu.
Karibu wote wananitafuta mpaka kesho.
Wengine washakubali matokeo tumekuwa marafiki tu wamebaki kuimba wimbo wa Whitney Houston.
"And IIIIIII, will always love yoooooou".
Hakuna niliyemuacha kwa shari.
Risasi 16 na bado anadunda.Hatukuachana Anaitwa JOYCE
Tukapige kura kuchagua kiongozi Mzuri wa Taifa letu, kiongozi Mwenye Nia ya Dhati na Maendeleo ya Tanzania, kiongoz anae jenga uchumi wa Nchi yetu tusichague kiongozi kwa Kumuonea Huruma
Kila Mtu atimize jukumu lake kwa Maendeleo ya Taifa
Ex na bado nikupende..maajabu haya
Ila huu Uzi umedhihurisha namna gani wanawake wengi tunaingia kwenye mahusiano ya wanaume wa wengine..Yani upo nae ila moyo upo kwa ex wake[emoji23][emoji23][emoji23] mashokoro
Hapo juu wanaoweza kuwa wanawake ni I'd mbili. So automatically kama umtajaaa anaye crush huo moyo hahahaaaa...Ex wangu naempenda mpka kesho kasha comment juu huko..
naomba kuuliza kama hamjafanya chochote pia si ni ex au ni rafiki wa kike?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa naacha tu. Sijawahi kuachwa.
Nilikuwa hata sijafikiria hili mpaka uzi huu umenistua.
Basi inabidi tuwe pamoja sasa.Tuko boat moja kabisa.
kabsa mkuu kina asha..aisha..hawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu anaonekana alikuwa ni mswahili sana
Unahimiza kuchepusha wake zetu eheee?ΒΏKama kichwa cha habari kinavyojielezea hebu mtaje X wako kwa jina moja tuu ambae hadi leo bado unampenda
Mimi upande wangu kipenzi changu mtoto Kissa wa pale Mbezi kwa makabe umeniacha mwaka tano hadi leo hii bado namkumbuka bado nampenda
Wewe je?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ex ambaye bado nampenda sijui..!? HAKUNA kwakweli, huwa nasahau mpaka jina.!