Swali la kizushi: Hivi kweli Sabaya analala gerezani?

Dalili zinaonesha anapata treatment first class, hata huyo askari magereza alivyosimama hapo karibu yake anaonekana kabisa anamsikiliza bosi wake, inawezekana zile pesa alizojilimbikizia ndio zinamfanya sasa hivi aishi gerezani kama mfalme.
 
kama ni hela watakula sana! atapuruswa hataamini!
 
Duh. SABAYA Amepata mda mzuri wa kukaa na kutafakari namna ya kuifanya mambo makubwa Zaidi.
 
Kusema ukweli Johnson Johnson iwahishwe magere ni, kwa huu unene wa Sabaya akipata Covid hali yake itakua mbaya sana.
 
Hakuna kinachoendelea hapo zaidi ya kuwaadaa watanzania.

Kuna polisi kaniambia kukamatwa kwa sabaya ilikuwa ni chambo ya kuja kumkamata Mbowe.

Katumika kama chambo na amesema hukumu ya mbowe itafika kabla ya hukumu ya sabaya na mbowe atafungwa mpaka 2025 kabla ya uchaguzi

Lengo ni kukwamisha katiba mpya.
 
Siku yako inakuja,kwa sasa endelea kujimwambafai,ni muda wenu kutubambikia kwa Sasa Ila tunataka katiba mpya.
Mbowe Sabaya ni chalii za Arusha,Jela ni kitu gani ntaenda ntaachiwa,kama ni kesi mbuzi nyingi nishasingiziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…