Swali la kizushi: Hivi kweli Sabaya analala gerezani?

Swali la kizushi: Hivi kweli Sabaya analala gerezani?

Dalili zinaonesha anapata treatment first class, hata huyo askari magereza alivyosimama hapo karibu yake anaonekana kabisa anamsikiliza bosi wake, inawezekana zile pesa alizojilimbikizia ndio zinamfanya sasa hivi aishi gerezani kama mfalme.
Zitaisha
 
Sabaya ni mahabusu tu sio mfungwa...hata Lema alinenepa sana kipindi yupo huko Kisongo.
 
mbona kanyoa kiduku
mbona amechomekea
mbona hana pingu
mbona anatabasamu
kudadeki
 
Back
Top Bottom