πππ Naona mzee Ruge kaamua kubadili dini kabisa.Mbona ananawili na kitambi kinaongezeka, yuko poa kabisa as if nalala Kilimanjaro Hotel ya enzi za Isr
Ona walio gerezani Gagnija
View attachment 1871946
Wewe tutakupeleka na genge lako la ubambikiaji mara baada ya kupatikana katiba mpya.Mbowe Sabaya ni chalii za Arusha,Jela ni kitu gani ntaenda ntaachiwa,kama ni kesi mbuzi nyingi nishasingiziwa.
Unatafut ahueni popote hata kwenye vazi, kule hakufai katuπππ Naona mzee Ruge kaamua kubadili dini kabisa.
ZitaishaDalili zinaonesha anapata treatment first class, hata huyo askari magereza alivyosimama hapo karibu yake anaonekana kabisa anamsikiliza bosi wake, inawezekana zile pesa alizojilimbikizia ndio zinamfanya sasa hivi aishi gerezani kama mfalme.
Ah wapi!!!.Hata Mboe atafanyiwa hivyo.
Usihofu kamanda