Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ahsante kaka mkubwa[emoji120] [emoji120]Fedha za Fifa hazihusiki, kinachohusika ni fedha za mikataba ya ndani TBL, Serengeti na nyinginezo. Malinzi kafoji risiti za kujilipa dola laki nne kutoka TFF akidai anaidai, jiulize kwa kazi ipi? Fedha za Udhamini wa TBL na serengeti katombea zote kawanyonga wale watoto kawapa nauli tu. Takukuru ni chombo huru kinachunguza popote penye rushwa na uwizi kama ilivyokuwa kule Fifa kwa Blatter hazikuchunguzwa fedha zao kilichunguzwa ni rushwa ya maamuzi.
NB.
Fedha zinazotuhumiwa kutafunwa na Malinzi si za Fifa ni za mikataba ya ndani pamoja na kutakatisha fedha.
Kumbe mkuu ndio hivyo??Fedha za Fifa hazihusiki, kinachohusika ni fedha za mikataba ya ndani TBL, Serengeti na nyinginezo. Malinzi kafoji risiti za kujilipa dola laki nne kutoka TFF akidai anaidai, jiulize kwa kazi ipi? Fedha za Udhamini wa TBL na serengeti katombea zote kawanyonga wale watoto kawapa nauli tu. Takukuru ni chombo huru kinachunguza popote penye rushwa na uwizi kama ilivyokuwa kule Fifa kwa Blatter hazikuchunguzwa fedha zao kilichunguzwa ni rushwa ya maamuzi.
NB.
Fedha zinazotuhumiwa kutafunwa na Malinzi si za Fifa ni za mikataba ya ndani pamoja na kutakatisha fedha.
Hii ndiyo jf mkuuKumbe mkuu ndio hivyo??
True napaaminiaHii ndiyo jf mkuu
Kwahiyo wachezaji wa simba ni watumishi wa umma? Wakishikilia nyasi za simba wakitaka kodi saizi muda wa usajili wachezaji wanapewa mamilioni ivi wanajua hela inatoka wapiKlabu ya Simba imesajiliwa kwa mujibu wa sheria hivyo maofisa wake ni watumishi wa umma (wanachama, wapenzi na mashabiki wa mikia fc) hivyo maofisa hao wanayo dhamana ya kuzitumia mali za klabu kwa malengo yaliyokusudiwa.
Maofisa hao wakiingia kwenye mtego wa kuzitafuna fedha za klabu wanakuwa wametumia ofisi ya umma kwa manufaa binafsi ambapo fasili yake ni RUSHWA. Kwa kuwa wazee wa kazi hiyo wapo, hawana budi kuamsha madude.
Chekecheo, chekecha, watumishi wabovu!!!!
Kuna watu waajabu sana hivi unajitokeza kutetea mtu kama Malinzi!. Kila nikimfikiria yule Nahodha wa Serengeti Boys aliyetelekezwa napata hasira sana na hao watu!Fedha za Fifa hazihusiki, kinachohusika ni fedha za mikataba ya ndani TBL, Serengeti na nyinginezo. Malinzi kafoji risiti za kujilipa dola laki nne kutoka TFF akidai anaidai, jiulize kwa kazi ipi? Fedha za Udhamini wa TBL na serengeti katombea zote kawanyonga wale watoto kawapa nauli tu. Takukuru ni chombo huru kinachunguza popote penye rushwa na uwizi kama ilivyokuwa kule Fifa kwa Blatter hazikuchunguzwa fedha zao kilichunguzwa ni rushwa ya maamuzi.
NB.
Fedha zinazotuhumiwa kutafunwa na Malinzi si za Fifa ni za mikataba ya ndani pamoja na kutakatisha fedha.