jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujiulize swali la msingi hivi magari ya TFF yana namba gani za usajili? Ni SU au?Kwa uelewa wangu mdogo, hize hela sio za umma na wala serikali haina mamlaka ya kuingilia na kuwakamata viongozi wa TFF. Naongezea maswali mawili ya kizushi;-
1. Alieshtaki nani takukuru?
2. Ukaguzi wanoutumia takukuru alifanya nani na kwa niaba ya nani?
Angalizo, wasijione wana meno, basi wakayatumia hata kung'ata chuma!!!
Kuna mgawanyo wa kufa mtu , Timu husika , BMT , POLISI , DRFA , UWANJA , MGAMBO etcMapato ya uwanja wa Taifa yanaenda wapi?
Hazina ipo Dodoma Mjini
Nadhani SI MALI YA UMMA ila timu ya taifa ni mali ya umma.serikali na wananchi inawapaga sana michango timu zetu za taifa..ndio maana serikali iliingilia kujua kwann pesa zinahamishwa kutoka accnt moja kwenda nyingine wakati FIFA wanatoaga hela na hazitumiki ipasavyoNimeuliza makusudi ili nipate ufafanuzi .
Kuna fungu lolote kutoka serikalini linatengwa na kuingizwa kwenye akaunti ya TFF ? Nakumbuka wakati wa FAT ya Muhidin Ndolanga , FIFA ilipiga Marufuku kwa serikali kuingilia masuala ya soka , sasa siku hizi FIFA wamebadili msimamo wao ?
Je hela zile ni za Umma ama ni mchango wa FIFA kwa TFF ?
.....................................................
UPDATES
FIFA yaingilia kati , ambapo imetuma ujumbe kuja kufuatilia sakata hilo , inatarajiwa Jumanne ijayo kutafanyika kikao kati ya wajumbe wa FIFA na viongozi wa TFF walionusurika .
Umekosea kwanza serikalini au wizara ya michezo, TRAKuna mgawanyo wa kufa mtu , Timu husika , BMT , POLISI , DRFA , UWANJA , MGAMBO etc
Mpuuze.Ila wizi wa fedha za TFF ni kazi ya FIFA?
Au umechangia ili uonekane unajua kusoma na kuandika?
Kama katoa kwa utashi wake kuisaidia club, bado mchezaji anakuwa mali ya club. Lakini kama kuna makubaliano rasmi ya kimaandishi na kisheria kwamba ni mkopo au kama akiuzwa alipwe vipi, hilo suala lingine lingine.Hivi,huyo aliyemlipa Nyonzima, (Kama ni kweli) halafu akaja kuuzwa kwa bei ya mara nne ya aliyonunuliwa. Je huyo aliyetoa hiyo hela,hana haki ya kuchukua hiyo fedha?
Na jeee,kuhusu kuikopesha klabu,si pamoja na mishahara walipwayo wachezaji?
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu...Mpuuze.
Wengine wanaandika waonekane tu wamebishana na Asupirini..
Mwambie akasome Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa namba 11 ya mwaka 2007.
Aisome na taarifa ya CAG juu ya ubadhirifu wa fedha za TFF (kisha ajiulize ni kwa nini CAG ana mamlaka ya kukagua akaunti za TFF?)
Hivi Manji tayari vile, nauliza tumnamuona malinzi tu je maney loundering ya simba ni za uma? mwizi ni mwizi na wakiachwa serikali itaonekana ya ovyo takukuru kamata wote Hans Pop alishaonjeshwa bado MO na yeye. ajiandae
Nipo mkuu..Siku hizi nimekua msomaji zaidi kuliko mchangiaji..Ahsante kwa ufafanuzi mkuu...
Ila umepotea sana mazee... ulikuwa wapi siku zote hizi?
Mzee Dodoma kuna eneo linaitwa Hazina. Lile eneo lipo kabla ya hiyo Hazina Ndogo. Ni maeneo tofauti.Ya Dodoma ni hazina ndogo mkuu.
Mzee Dodoma kuna eneo linaitwa Hazina. Lile eneo lipo kabla ya hiyo Hazina Ndogo. Ni maeneo tofauti.
Mi nikujibu ifuatavyo, ila sijui kama utanielewa.Nimeuliza makusudi ili nipate ufafanuzi .
Kuna fungu lolote kutoka serikalini linatengwa na kuingizwa kwenye akaunti ya TFF ? Nakumbuka wakati wa FAT ya Muhidin Ndolanga , FIFA ilipiga Marufuku kwa serikali kuingilia masuala ya soka , sasa siku hizi FIFA wamebadili msimamo wao ?
Je hela zile ni za Umma ama ni mchango wa FIFA kwa TFF ?
.....................................................
UPDATES
FIFA yaingilia kati , ambapo imetuma ujumbe kuja kufuatilia sakata hilo , inatarajiwa Jumanne ijayo kutafanyika kikao kati ya wajumbe wa FIFA na viongozi wa TFF walionusurika .
So Long as wateja wa TBL ni UMA, basi fedha za TBL kwenda TFF ni za UMA pia, Ngoja mhudumu aniongeze ya baridi nitakuja kufafanua zaidiPesa za TBL
Hapana. Hazina ipo maeneo ya kuelekea Iringa Road. Ukitoka Majengo Sokoni kuna barabara (wenyewe wa kanda yakati wakielekezana wanasema magharibi) inayoelekea Relini . Ukivuka Reli, hizo nyumba ndio eneo la Hazina. Au kama unakwenda Mirembe ukivuka Central Polisi na kanisa la Roma upande wa kulia ndio HazinaUnasemea hazina hii ambayo ipo upande wa kulia mwa barabara inayokwenda UDOM auu!??May be ninaifahamu hazina ndogo tu mkuu..hiyo nyingine siifahamu ndiyo umenielewesha hapo.[emoji1474]
Ile ilikua ya kaka yake ambaye ni dioniz malinziKama Malinzi ni clean anahangaika nini na TFF? Kampuni ya Cargo Star imeishia wapi?